Huu ndio mtego at the beginning, km huna hela ya Bunduki basi jitahidi upate hata goborembona anaheshima, ni mstaarabu ana utii na mwerevu?
Ukimuuliza Mwanamke single Maza hili swali huwa wanajibu sijui alipo na wala Sina mawasiliano naye, 100%Mzazi mwenzie yuko wapi?
Red flag ya kwanza. UongoUkimuuliza Mwanamke single Maza hili swali huwa wanajibu sijui alipo na wala Sina mawasiliano naye, 100%
Hakuna mwanamke anazaa na mwanamke ila kila mwanamke huzaa na mwanaume na huyo ndio mumeMke wa mtu?? Ukiwa na maana gani na yeye yuko single?
halafu unamkuta siku anawasiliana naeUkimuuliza Mwanamke single Maza hili swali huwa wanajibu sijui alipo na wala Sina mawasiliano naye, 100%
Hakuna jambo gumu kama kumshauri mtu aliyeko kwenye mapenzi au anayekaribia kutapeliwaWanabodi..
Ni heri mmeamka salama kwenda kuyakabiri majukumu ya siku hii ya leo.
Ningelipenda kuwasumbua kidogo. Je hii ni sawa au nataka kuingia kwenye mtego?
Kuna binti nimetokea kumpenda sana, ila bahati mbaya ama nzuri tayari ana mtoto Au amezaa na mtu mwingine.
Binafsi nimependezwa naye katika kila angle, na niko radhi kulea mtoto wake na kumpenda maana ukipenda boga huna obligation ya kulipenda pia uwa lake.
Naona kabisa yeye kuwa na mwanae sio tatizo kwangu, ila nimekuwa Niki Sikia kuwa kupenda singo mama ni kujichimbia kaburi mapema, ila mbona anaheshima, ni mstaarabu ana utii na mwerevu?
Je, eti kisa watu wanasema kuwa single mama ni vichomi na mimi niache mtu ni naye mpenda kwa dhati?
Je, niko delusional ama ni ufwate moyo wangu? Na wenye experience Naombeni uzoefu ndugu zangu.
Asanteni.
Research?Vitu vingine fanya research mwenyewe
Kabla hujapata ushauri kutoka kwa watu wenye trauma na single mother
But kwenye wengi kuna mengi fatilia comment halafu changanya na za kwako kila la kheri
Halafu hapo unaposema upo tayari kumlea mtoto kwani baba ake yupo wapi?