Dilemma ya kumpenda mwanamke mwenye mtoto

Kwamba wewe ndio umeokoka kiasi hiki 😍 🤣anyway naendelea kukupa muda

Kwenye mada nitarudi baadae kidogo
Hakika de Gunner katoa somo ambalo sasa ni rasmi nianze kuli apply katika maisha halisi
 
Mapenzi hayana kanuni, yaendee jinsi yalivyokujia, walioolewa bila watoto ndio hao wameuawa kwa risasi.
Alafu watu wanaanza ku judge mtu kisa amezaa kweli l? 😂
 
Sema single mother tu maneno mengi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Acha uwongo.! Kama hatoonyeshwa kaburi la mwenza apite kwahivi mapema tu
 
Kumbe washenzi ni nyie nyie mnao tafuta viporo?
 
Wanaume wa Pwani wanaoa sana single mothers, wala hakuna shida yoyote. Ushamba wa kuwakandia single mother uko zaidi bara.
Ni kwasababu ya utamaduni na ukabila
 
Mke wa Kweka hakuwa single maza, huko kwao ni majirani na walifahamiana tangu utotoni kwahiyo sababu zenu hazina mashiko,

By the way wanawake mliowaua week hii hakuna single mom yoyote hebu fanyeni kuwatua
Ndo maana nikasema kuoa single mama kama yuko makini na anajua thamani yake, kuliko kuwa traumatized nayo ni sawa tu. Maana kuzalishwa sio kigezo cha kuwa kicheche
 
Aisee, kwani hakuna njia nyingine ya kusawazisha hizi worst case scenarios
 
Shida sio single mother shida ni mwanamke anayeelewa anataka nini.Kama anajielewa hautateseka hata mawasiliano anaweza kashiwa dada wa kazi nk.Watu wanasema single mother wanasahau wake zao wana EX ambao hawajaachana nao dunia hii ni kupata the right person
 
Kukaa kinyonge nayo ni ujinga sana.

Kuna wazembe wanabebeshwa misalaba ya wahuni wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…