Dilemma ya kumpenda mwanamke mwenye mtoto

Hata gwaride huanza na mwendo wa pole, kisha guzi mtoto, baadaye mguu wa shingo mguu wa roho huku silaha imeangushwa chini, umeweka jet vizuri huku unakata macho kulia.
 
Wewe jichanganye tu , mimi nasubilia uzi .

Kama hutataka kujifunza kwa maonyo ya wanazuoni utajifunza kwa mapigo ya single mother ndani ya ndoa.
 
Hakikisha unajua alipo baba wa mtoto, na ukishamfahamu hakikishq unakaa mbali na huyo mwanamke. Na akikuambia amefariki, akuonyeshe kaburi lake na ufanye vipimo vya DNA na UKAE MBALI NA HUYO MWANAMKE.
 
Shida zote za nini mkuu? Usioe single mother basi
 
Kama ulikuwa unapenda mathematics enz za secondary kumbuka kwenye solv equation kuna method inaitwa substitution, 😂
Yes simultaneous equations, je nitafanya substitution mimi?
 
Sawa sawa mkuu
 
Egoism kwenye mapenzi ni kujitesa tu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…