CaptainDunga
JF-Expert Member
- Jul 17, 2009
- 1,624
- 1,453
ACHANA NAE HUYO NI MKE WA WA MTU
NB:TAFUTA MKE WAKO
ACHANA NAE HUYO NI MKE WA WA MTU
NB:TAFUTA MKE WAKO
Hakika mkuu... It's deep wounds that make such kinda women fail in other relationships. Wao hufanya malipizi yote kwa mwanaume mpya.Mwanaume mwenzako yalimshinda either hakumuoa au alibwaga manyanga, unaenda kubeba mtu mwenye experience na trauma za ndoa unadhani kuna kitu utaweza.?
Wanawake wengi waliozalishwa tu ni vichomi, wana makasiriko mengi, psychological state yao haiko sawa. Ukiingia huko "at your own risk"!