Hakika walimwengu mnapenda ulaghai na uongo sasa niweke bandiko kwa ajili ya kufurahisha nani?Mimi najua kua ni chai ila nachangia tu ili iwe funzo/elimu kwa wengine,
Lamomy niitie 1995_No_Ku_Fake na yule ''Gana'' waje wamshauri Pacha wao.
FactUsiyumbishwe na maneno ya mitaani kaka. Umempenda na unaona kabisa anakidhi vigezo vyako unanzaje kuuliza watu kaka?
Kuna ma single mother wengi sana wameachana na wazazi wenzao mazima na wameanzisha familia zenye afya sana na wanaume wengine
Hivi kuna hao wasio na watoto wangapi ambao wameolewa na wamekuwa vichomi balaaa kwenye ndoa zao?
Na hili ndio swala ambalo hata mimi nashangaa sana, mitaani naona wanawake walio achika wanazidi kuolewa tu ila maneno ya mitandaoni kuwasema single mama vibaya yamekithiri sana mpaka unashindwa kuelewa je, ni chuki binafsi ama nini?Fata moyo wako humu watu watakushauri usioe single mother kumbe wao wamewaoa
Usiniambie ndiyo yule homeboyKwa akili yako research ni mpaka utembelee tovuti?
Huko mtaani ulipo hakuna watu?
Hakuna single mother?
Hakuna waliooa single mother?
Kanye west soma tena ni kitu gani hiki umeandika
FactFata moyo wako humu watu watakushauri usioe single mother kumbe wao wamewaoa
Mmh aisee..Au sio, nenda tu Mkuu ila ipo siku huko mbeleni hata miaka 10 huko utakumbuka majina ya ID zote zilizokushauri katika huu uzi.
Kwa kifupi ukishakuwa nae karibu itafika mahala baba wa mtoto wake huwa anaibuka na kutaka kuwa nae karibu pia, ndugu za baba wa mme wake huibuka na kumsonga au kumjali zaidi kwa kumshirikisha mambo mbalimbali mazuri juu yake na mtoto wake, utasikia tunataka kumkatia mtoto Bima ya Afya, tunataka kumnunulia kiwanja kwa jina lake, tunataka kufanya hiki na kile hapo ndio utaanza kuona anaanza kuwaelewa na kubadilika na ww utaona husikilizwi tayari mgogoro.
Nimewah kuwa na singo maza na mtoto wake bahati nzuri alikuwa kwa mama wa baba walie zaa nae,
Gues what walipohisi ana mtu, huyo mama mkwe akipiga simu ni maongezi ya masaa 2, kule mtoto kila dakika wanajaza vocha kwenye simu na kumlazimisha aongee na mama yake.
Yani akinywa chai simu, akimeza chai simu, akivaa nguo simu, akicheka simu, akitoka na wenzie simu simu simu simu simu simu...
Wakimaliza baba mtu ulieambiwa walikosana nae anaanza nae, akiblokiwa huku anaibukia kule na akiibuka anamwambia nataka tujadili hatma ya mtoto..😀😀😀😀😀😀
Ni kweli kiongozi ila Kuna muda unakutana na mtu, mpaka unasema nilikuwa wapi miaka yote hii? Yaani ana package yote ya Mwanamke wa ndoto zako,Mambo mengine ni kujitaftia stress tu kwanini usianzishe familia yako from scratch
Au Ke aliyewaamini manabii feki.Hakuna jambo gumu kumshauri kama kumshauri mtu aliyeko kwenye mapenzi au anayekaribia kutapeliwa
Baba wa mtoto amekufa?Mke wa mtu?? Ukiwa na maana gani na yeye yuko single?
Mtoa mada tunaomba majibu kwa maswali ya mwongozo haya1.Umekuwa naye kwenye mahusiano lwa muda gani sasa?
2.Je anaishi na mwanae au mtoto yupo kwa baba yake or kwa bibi?
3.Mtoto ana umri gani?
4.Wametengana lini yani wana muda gani mpaka sasa?
5.Yeye ana umri gani na wewe una umri gani?
6.Baba wa mtoto yupo hai?
7.Unaposema upo tayari kumuhudumia then baada ya muda/miaka kadhaa baba yake mzazi akimtaka mwanae utakuwa tayari kumruhusu bila conditions zozote?
8.Mama ni kabila gani?
TUKIPATA MAJIBU YA HAYO MASWALI KWA ASILIMIA 70+ utaweza kupata ushauri mzuri sana..
N:B,Kama hautaweza kuyajibu basi "USIJARIBU KUJENGA KWENYE HIFADHI YA BARABARA"
Ni nini unacho kimaanisha mkuu?Ile ndoto yako ya kuoa mzungu imeishia hapo.
Single mamaz,na ambaye hana bikira wote ni wake za watu
Kama huna mpango wa kuishi maisha yenye Furaha muowe
Shida huja baadae sio sasa hivi ila km umempenda wewe hakikisha unazalisha vya kutosha km amekuja na mmoja ongeza injini 4 za kwako 1 kwa 4 lazima atabakia na 4 tu hawezi kurudi kwa aliempa mmoja,Naona kabisa yeye kuwa na mwanae sio tatizo kwangu, ila nimekuwa Niki Sikia kuwa kupenda singo mama ni kujichimbia kaburi mapema, ila mbona anaheshima, ni mstaarabu ana utii na mwerevu?
Sawa sawa kiongozi nitalizingatia hiyo tajadhari.Ila single mother wengi ni vichomi,but wapo ambao watulivu namanisha wameachana na wazazi wenza bila kuwa na ukaribu,lakini ni asilimia chache mno,ushauri wangu fata moyo wako unavyoona inafaa.
Lakini tahadhari ni muhimu kwasababu anaweza kubadilika muda wowote,changamoto ninayoiona kwa single mother ni pale baba mtoto anapomtafuta,ndo tatizo linapoanzia,unaweza kumfanyia kila kitu lakn badae akazingu kila la heri.