Dilemma ya kumpenda mwanamke mwenye mtoto

Wewe tena unataka kuchukua mke wa kwenyewe si utafute wa kwako??Nakukumbusha tu mwenyewe akiamua muda wowote anakiwasha
Duh aisee sasa mbona sasa amemtelekeza mwanamke mrembo namna hii? Yaani alivyo pisi nimwache kabisa mimi?
Hapana ndugu yangu eti kisa watu wanasema ni amezalishwa, je ni kwanini huyo aliye mzakisha kamwacha aende zake?
 
Yaani umekiri kabisa umekuwa ukisikia watu wengi wakiwasema vibaya single mothers lakini bado huoni lisemwalo lipo?

Shuhuda nyingi zimetolewa humu namna single mothers wanavyowapiga matukio waume zao wa ndoa na kwenda kuziniwa na waume zao wawapendao kwa dhati waliowazalisha.
 
Sawa mkuu na asenye kwa mwongozo huu mzuri nitaufanyia kazi kikamilifu.
 
Sawa mkuu na asenye kwa mwongozo huu mzuri nitaufanyia kazi kikamilifu.
Unajenga nyumba kwenye kiwanja cha mkopo au kiwanja chenye migogoro ya ardhi? Siku bank ikija kinapigwa mnada na nyumba yako inabomolewa uende ukatafute kwa kujenga na isivyo bahati haulipwi
 
King of reactions tayari maamuzi anayo mkononi. Ni ngumu sana kumkataza mtoto aende disko mpaka pale atakapoona madhara yake.

Hakuna mtu anaweza kubadili maamuzi yake. Apo anataka tu kuona watu wanavyoyachukulia maamuzi yake.
 
Mtoa mada hapa jf linapokuja swala la single maza watu huwa hawawi kati kwa kati,asilimia kubwa husema negative kuhusu single maza

Kiukweli ni kwamba tukiacha matukio ambayo watu wamepigwa na single mazas, bado kuna single mazas ambao wamemove on,wameamua kuishi maisha mapya kabisa,wameachana na vichomi wao wa zamani na kuamua kuanza maisha upya

Hawa hutasikia drama kutoka kwao,hawa wanaheshimu mahusiano,na wanataka kurekebisha palipo haribika

Sasa kosa la watu wa jf na waathirika wa hao single mazas,siku zote hawataona pande mbili za shilingi,hawa hawatakuja kuona ukweli kwamba kuna single mazas ambao wapo gud na wanaweza kuwa wife Materials

Sasa ila sipingi ukweli kwamba asilimia kubwa karibia asilimia 90,mara nyingi single mazas ni mtihani sana,wengi huja kuzingua baadae kwa kulala na baba watoto wao

Kwahiyo je utatuaje huyu single maza ni tofauti na wengine,ni kupitia mazungumzo,muulize maswali magumu juu ya mzazI mwenzio,namna watakavyo wasiliana juu ya malezi ya mtoto wao,na kwa namna gani hatokuleta sintofahamu ambayo inaweza pelekea kukupa wewe mashaka.

Narudia tena pamoja story nyingi mbaya kuhusu single mazas lakini bado kuna wazuri miongoni mwao.
 
mkuu na uyakumbuke maneno yangu mausiano ya kimapenzi na sigle mother ni kwa ajiri ya kujiburudisha tu na si vinginevyo kama endapo utakaidi maneno yangu basi kuna siku nyingine utakuja kushusha nyuzi nyingine ya maumivu makali mno na mimi nitakuombea dua tu
 
Sawa mkuu, Asante kwa ushauri mzuri mkuu.
 
Kazi kweli kweli.

Ila nakubaliana na wewe kuhusu mwanaume aliye mtia mimba kuwa wa muhimu zaidi na mwanamke huwa ni simu moja tu anaingia kingi kwenda kupasha kiporo
 
Jana kuna wangu namuuliza kwahiyo kwakuwa umeolewa ndio unanikaushia akanijibu "ngoja nizoee mazingira nitakutafuta"

Ushauri wangu ukimuoa mpeleke mbali na mnyang'anye simu kwa miaka 10 ndio umnunulie ingine pia akienda kwao nenda nae
Aghaghagha🤣🤣🤣

Kwamba kapata jimbo jipya na wanasubiri azoee mazingira ili aje umchape kiporo? Aisee mbona hawana huruma hawa viumbe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…