Hayo yote n upuuzi, single mother atabaki kuwa single mother hata ukimpeleka mbinguni.Jana kuna wangu namuuliza kwahiyo kwakuwa umeolewa ndio unanikaushia akanijibu "ngoja nizoee mazingira nitakutafuta"
Ushauri wangu ukimuoa mpeleke mbali na mnyang'anye simu kwa miaka 10 ndio umnunulie ingine pia akienda kwao nenda nae
Kwa uzoefu wangu mwanamke akipata mume mwingine ni vigumu sana kumtafuta ex wake hasa kama mahitaji yote anapataJe single mother akiwa na laini nyingine usiyoijua na kutumia simu ya jirani kuwasiliana na baba watoto?
Ke si kama watoto, ni vinyonga wanaoweza kubadilika muda wowote.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Ila at least utapunguza mashambulizi ya kuwashiwa moto mara kwa maraHayo yote n upuuzi, single mother atabaki kuwa single mother hata ukimpeleka mbinguni.
Bado sijaona pointIla at least utapungusha mashambulizi ya kuwashiwa moto mara kwa mara
Uandishi wake una fanana na yule jamaa aliye omba apewe u platinum memberKwa jinsi unavyojibu comment za watu naona hii ni chai ya asubuhi .
Umeamua kwenda na trend
Unaonekana umepigwa pigo takatifu na singo mazaBado sijaona point
Upo sahihi mkuu, niliwahi kudate na single mother na alinitengeneza kumuamini, ila alipokuja kuninyoosha nikasema hiiiiiiiiiiiUnaonekana umepigwa pigo takatifu na singo maza
Tatizo kubwa la Watanzania ni waongo waongo sana, ndio maana mambo mengi yanashindakana.Ukimuuliza Mwanamke single Maza hili swali huwa wanajibu sijui alipo na wala Sina mawasiliano naye, 100%
Ukiwa tajiri ni rahisi kuoa na kuishi na single motherMwanzoni utasema jamani Mwanamke si ndio huyu? Nilikuwa wapi mimi.
Mkuu niseme ukweli niache utani, Single maza sio wote wabaya, lakini hakikisha unaongea naye Mada ngumu Maana na yeye asije akawa anakupenda kwa hisia Tu ambapo baadaye mtakosna na itakuwa Chanzo cha ugomvi
Mad ngumu ni zipi? Historia ni Muhimu Sana Maana unayofanya Leo ndio hatuna yako ya kesho, aloyofanya zamani yanadefine maisha yake ya Leo, usisikilize wajinga wanaosema forget the past.
1. Kwanini alizaa kabla y Ndoa
2. Kwanini waliachana na Mume wa Mwanzo
3. Mume wa Mwanzo Yuko wapi na nfnu nini?
4. Umweleze kabisa kinaga ubaga kuwa hakuna Mwanaume anatelekeza Mtoto maisha Yote au Mtoto ataacha kumtafuta baba yake
5. Mwambie kwa uswazi huyo Mtoto sio wako, Mamlaka yoote yako kwa Baba Yake na ukoo wao, asikubeshe majukumu yasiyo yako, Maana naona ameshakuingiza kwenye mfumo wake
6. Mwambie Mimi siko tayari kulea Mtoto ambaye ana Baba Yake, Mimi nihenyeke usiku na mchana kuuguza mtoto, kusomesha, kulisha wakati Baba yake mfanya kazi hela Anafanya kulewa, kuhonga na kutombea wanawake wengine? Wewe utakuwa ni Zuzu.
7. Kabla ya kukubaliana kuona wekeni Mipaka ya mawasiliano, Mume mwenzako na yeye na Mtoto, hap Mwanzo atakwambia Hana mawasiliano na hajui alipo, ni uongo mkubwa sana n inaonesha bado kuna mambo anakuficha
inasikitisha sana na inawezekana iyo ndo ikawa sababu mpaka ukawa raisi wa nyetoUpo sahihi mkuu, niliwahi kudate na single mother na alinitengeneza kumuamini, ila alipokuja kuninyoosha nikasema hiiiiiiiiiii
Mm naongelea uzoefu nilionao khs Hawa watu, sio story za mitandao
Hahhaha itakuwa ni yule msukuma mwenye sera zakeUpo sahihi mkuu, niliwahi kudate na single mother na alinitengeneza kumuamini, ila alipokuja kuninyoosha nikasema hiiiiiiiiiii
Mm naongelea uzoefu nilionao khs Hawa watu, sio story za mitandao
Kwa sababu ukiwa na hela hata yeye atafurahiUkiwa tajiri ni rahisi kuoa na kuishi na single mother
Pwani na Tanga wanaume wanagongeana kimya kimya wenyewe wanasema kitanda hakizai haramuWanaume wa Pwani wanaoa sana single mothers, wala hakuna shida yoyote. Ushamba wa kuwakandia single mother uko zaidi bara.
Wanaume wa Pwani ndo akina nani mzee, ww Nyoosha maelezo sema Waislamu hasa waZanzibar , mana wao n mwendo wa kuoa, kuzalisha na kuachaWanaume wa Pwani wanaoa sana single mothers, wala hakuna shida yoyote. Ushamba wa kuwakandia single mother uko zaidi bara.
Nyeto nimeanza kitambo, usifananishe nyeto na mambo ya kiwakiinasikitisha sana na inawezekana iyo ndo ikawa sababu mpaka ukawa raisi wa nyeto
Simjui huyo unayemsemeaHahhaha itakuwa ni yule msukuma mwenye sera zake