Tokea mwanzo wa Dunia hakuna suluhu ya hilo jambo tofauti na kujivua gamba na kutafuta mwanamke asie na mtoto.Mmh aisee..
Mbona hii ni hatari sana ndugu yangu?
Ilikuwaje na hatma yako na yule mwanamke ili ishaje?
Kuna mtu juu kule alicomment kuwa ukioa singo mama unakuwa umeingia kwenye familia nyingine na ninaona kabisa point yake kupitia stori yako.
Duh kweli ni changamoto mkuu, je uliacha a na yule mwanamke? Au ulitafuta mbinu ya kukabili hiyo changamoto?
Nasikia umemrudia baba mtoto 😃😃Jishkilie we nyau
SijuiJe, wewe Seran ni singo mama?
Ndio kwani kuna shida?Nasikia umemrudia baba mtoto 😃😃
Huna akili.Wanabodi..
Ni heri mmeamka salama kwenda kuyakabiri majukumu ya siku hii ya leo.
Ningelipenda kuwasumbua kidogo. Je hii ni sawa au nataka kuingia kwenye mtego?
Kuna binti nimetokea kumpenda sana, ila bahati mbaya ama nzuri tayari ana mtoto Au amezaa na mtu mwingine.
Binafsi nimependezwa naye katika kila angle, na niko radhi kulea mtoto wake na kumpenda maana ukipenda boga huna obligation ya kulipenda pia uwa lake.
Naona kabisa yeye kuwa na mwanae sio tatizo kwangu, ila nimekuwa Niki Sikia kuwa kupenda singo mama ni kujichimbia kaburi mapema, ila mbona anaheshima, ni mstaarabu ana utii na mwerevu?
Je, eti kisa watu wanasema kuwa single mama ni vichomi na mimi niache mtu ni naye mpenda kwa dhati?
Je, niko delusional ama ni ufwate moyo wangu? Na wenye experience Naombeni uzoefu ndugu zangu.
Asanteni.
A man was created to start a family not to join...What if she doesn't have any interest to that specific partner?
Ni bora umeturudishia mwenyekiti wa watu kwenye chamaNdio kwani kuna shida?
Kuna jambo huliewi, mwanamke anapozaa na mwanaume tayari kuna damu zimeungana na hilo agano ambalo hudumu muda wote, ndio maana sio rahisi kwa mwanamke kumsahau mwanaume aliyezaa naye hata kama kuna ugomvi mkubwa wa kutoana roho, kusahau ni ngumu.Hahaha, aisee ila mapenzi bwana, kwanini yawatese watu namna hii?
😅😅😅Au sio, nenda tu Mkuu ila ipo siku huko mbeleni hata miaka 10 huko utakumbuka majina ya ID zote zilizokushauri katika huu uzi.
Kwa kifupi ukishakuwa nae karibu itafika mahala baba wa mtoto wake huwa anaibuka na kutaka kuwa nae karibu pia, ndugu za baba wa mme wake huibuka na kumsonga au kumjali zaidi kwa kumshirikisha mambo mbalimbali mazuri juu yake na mtoto wake, utasikia tunataka kumkatia mtoto Bima ya Afya, tunataka kumnunulia kiwanja kwa jina lake, tunataka kufanya hiki na kile hapo ndio utaanza kuona anaanza kuwaelewa na kubadilika na ww utaona husikilizwi tayari mgogoro.
Nimewah kuwa na singo maza na mtoto wake bahati nzuri alikuwa kwa mama wa baba walie zaa nae,
Gues what walipohisi ana mtu, huyo mama mkwe akipiga simu ni maongezi ya masaa 2, kule mtoto kila dakika wanajaza vocha kwenye simu na kumlazimisha aongee na mama yake.
Yani akinywa chai simu, akimeza chai simu, akivaa nguo simu, akicheka simu, akitoka na wenzie simu simu simu simu simu simu...
Wakimaliza baba mtu ulieambiwa walikosana nae anaanza nae, akiblokiwa huku anaibukia kule na akiibuka anamwambia nataka tujadili hatma ya mtoto..😀😀😀😀😀😀
Unaongelea nn sikuelewi unanitag upumbavu tu!Ni bora umeturudishia mwenyekiti wa watu kwenye chama
Nyeto iheshimiwe
Mh me naona watu wanakataza kwa nguvu lakini wewe unatetea kwa nguvu vilevile 😁Hapana mkuu, inachukua point na kujifunza namna ya kukabili jambo hili Zito lililopo mbele yangu
RelaxUnaongelea nn sikuelewi unanitag upumbavu tu!
Hatari sana hao maSINGO maza na akamjibu SHIT kwamba hajamtuma amsaidie.Duuh aisee!
hahaaNdivyo ilivyo kbisa u atakwambia ni Mtoto alikuwa anataka kumsalimia Baba yake
Vitu vingine fanya research mwenyewe
Kabla hujapata ushauri kutoka kwa watu wenye trauma na single mother
But kwenye wengi kuna mengi fatilia comment halafu changanya na za kwako kila la kheri
Halafu hapo unaposema upo tayari kumlea mtoto kwani baba ake yupo wapi?
Jamaa yeye ameshakubali atalea Tu, kwa hiyo Hilo swali hajaliwazia kabisaHilo swali yeye mwenyewe angetakiwa amuulize huyo dada nani atakuwa na wajibu wa kumlea huyo mtoto.
Jibu la binti litaonyesha future ya hiyo ndoa yao.