Ijuganyondo
Member
- Jan 13, 2011
- 62
- 1
huzuni mpaka basi,kama humpendi usiendelee kumuumiza mwache tu baada ya muda atarudi katika hali ya kawaida
Mwambie ukweli tu kwamba haiwezekani na wasichana wengine wana moyo duh miaka 2 badoo tuu!
sio moyo Mary,its the real&true love!
yah, ni kweli kabisa.Namuunga mkono huyo msichana aliyeachwa; ki kanuni ni vema ukiachwa/achana na mpenzi wako usikurupuke kuingia kwenye uhusiano mpya, vuta subira angalau hata mwaka. Ukifanya pupa unaweza amua kwa hasira ya kutaka kumuonyeshea ulieachana nae badala ya kutafuata penzi la kweli( ingawa ni vigumu kujua kuwa hapa ndio penzi la kweli, lakini inasaidia kufanya maamuzi sahihi ukiwa umetulia)
Namuunga mkono huyo msichana aliyeachwa; ki kanuni ni vema ukiachwa/achana na mpenzi wako usikurupuke kuingia kwenye uhusiano mpya, vuta subira angalau hata mwaka. Ukifanya pupa unaweza amua kwa hasira ya kutaka kumuonyeshea ulieachana nae badala ya kutafuata penzi la kweli( ingawa ni vigumu kujua kuwa hapa ndio penzi la kweli, lakini inasaidia kufanya maamuzi sahihi ukiwa umetulia)
Mwambie ukweli tu kwamba haiwezekani na wasichana wengine wana moyo duh miaka 2 badoo tuu!