Dili la Mukoko kujiunga na TP Mazembe lakwama

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
DILI LA MUKOKO[emoji1078] KUJIUNGA NA TP MAZEMBE [emoji246] LAKWAMA

Kwa Mujibu wa @leopard_LSA wanaripoti kuwa mazungumzo kati ya Mukoko na TP Mazembe[emoji246] yamesamama kwa sababu za maslahi ya kimkataba ambayo bado Mazembe hawajatoa msimamo wao wa mwisho. Lolote linaweza kutokea.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
MUKOKO AIGOMEA YANGA, IKIMSAJILI USHINDI...!!!

Taarifa kutoka chanzo cha uhakika inasema kiungo na mchezaji BORA wa Yanga msimu uliopita MUKOKO TOMOMBE amegoma kuondoka klabuni hapo na kujiunga TP Mazembe kwa usajili wa kubadilishana na CHICO USHINDI

Yanga ambayo tayari imemsajili USHINDI na amekwisha ingizwa kwenye mfumo wa usajili ambapo atatambulishwa siku yoyote kati ya leo na kesho.

MUKOKO anataka abaki klabuni Yanga kumalizia mkataba wake au AVUNJIWE mkataba. Mukoko bado yupo nchini hajaondoka kwenda kujiunga na Mazembe ya Lubumbashi Congo DR.



Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Nilitaka kusema basi walau mmoja wao asajiliwe kwa mechi za kimataifa tu, nikakumbuka kuwa kumbe Yanga huwa hawashiriki mechi hizo
Dah ! Umewaza mbali Sana mkuu. Hata mimi nilikuwa nawaza hivyo. Asante kwa kunikumbusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…