Tetesi: Dili ya korosho na kampuni ya kenya imekunywa maji

Tetesi: Dili ya korosho na kampuni ya kenya imekunywa maji

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,310
Reaction score
7,465
Kwa kweli sasa nimeamini kuwa kenya ni matapeli tupu..Juzi tu nikaweka uzi hapa ni kamwonya JPM aangalie hiyo dili sababu kenya imejaa madollar feki..Leo JPM amesikia na amefuta kandarasi hiyo..
Mijitahadhari na malipo yenu ya mazao!!
IMG_20190509_102237.jpg

Leo mumeponea chupuchupu..Kesho mu kilala mtaingizwa vichakani
 
Bado kuna nyang'au wanataka Tanzania itoe kipaumbele EAC katika kufanya biashara, tutaendelea kuipa kidogo EAC na kuegemea zaidi SADC.
 
Kwa kweli sasa nimeamini kuwa kenya ni matapeli tupu..Juzi tu nikaweka uzi hapa ni kamwonya JPM aangalie hiyo dili sababu kenya imejaa madollar feki..Leo JPM amesikia na amefuta kandarasi hiyo..
Mijitahadhari na malipo yenu ya mazao!!View attachment 1092422

Leo mumeponea chupuchupu..Kesho mu kilala mtaingizwa vichakani

sasa nani atawanunulia,,korosho zenu zitaendelea kuoza tu
 
Aibu nyingine hii.... Watu walisema mapema kabisa ile ni kampuni ya magumashi, mijitu ya chama cha mabwege ikabisha
 
Ila wewe mleta mada huwa unaruka ruka zaidi ya mchuuza ngono. Ulisifia hilo dili sana humu ukisema kwamba Jiwe ni genius na kwamba hela zimeshaingia kwenye akaunti yake. Ulibisha sana nilipokueleza kwamba mmechapwa chenga la macho.
 
Alafu Hawa wazembe ndio wanasema wanapesa?wameshajiharibia cv
 
Alafu Hawa wazembe ndio wanasema wanapesa?wameshajiharibia cv
Sasa nani ameharibu C.V kati ya serikali ya Tz na watu binafsi ambao walifanikiwa kumhadaa hadi na Jiwe? Serikali ambayo inajielewa haiwezi ikapigwa chenga la macho na kampuni ambayo ilikuwa ni jukumu lao kuichunguza kwanza kabla ya kufanya biashara nayo. Yaani walioibua udanganyifu wote huo ni wanahabari wa Kenya. Aibu ni kwa Jiwe na GoT kwa kuwahujumu wakulima, tena kimabavu kwa kutumia jwtz!
 
Back
Top Bottom