Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,465
sasa nani atawanunulia,,korosho zenu zitaendelea kuoza tuKwa kweli sasa nimeamini kuwa kenya ni matapeli tupu..Juzi tu nikaweka uzi hapa ni kamwonya JPM aangalie hiyo dili sababu kenya imejaa madollar feki..Leo JPM amesikia na amefuta kandarasi hiyo..
Mijitahadhari na malipo yenu ya mazao!!View attachment 1092422
Leo mumeponea chupuchupu..Kesho mu kilala mtaingizwa vichakani
Ndio huu uzi wenyewe. Mkikuyu- Akili timamu pitia uzi huu uone ulivokuwa ukibisha kwamba GoT wameshapokea hela. Wewe na mapimbi wenzako mlimsifia sana Magu na hilo dili lake feki la korosho mkimuita genius.Aibu nyingine hii.... Watu walisema mapema kabisa ile ni kampuni ya magumashi, mijitu ya chama cha mabwege ikabisha
Mimi ni miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kusema hiyo kampini ni fekiNdio huu uzi wenyewe. Mkikuyu- Akili timamu pitia uzi huu uone ulivokuwa ukibisha kwamba GoT wameshapokea hela. Wewe na mapimbi wenzako mlimsifia sana Magu na hilo dili lake feki la korosho mkimuita genius.
https://www.jamiiforums.com/threads...-deal-hapa-kuna-game-inachezwa.1546979/page-2
Sasa nani ameharibu C.V kati ya serikali ya Tz na watu binafsi ambao walifanikiwa kumhadaa hadi na Jiwe? Serikali ambayo inajielewa haiwezi ikapigwa chenga la macho na kampuni ambayo ilikuwa ni jukumu lao kuichunguza kwanza kabla ya kufanya biashara nayo. Yaani walioibua udanganyifu wote huo ni wanahabari wa Kenya. Aibu ni kwa Jiwe na GoT kwa kuwahujumu wakulima, tena kimabavu kwa kutumia jwtz!Alafu Hawa wazembe ndio wanasema wanapesa?wameshajiharibia cv