Dillemma!

sure kabisa na huwa natafakari na kuamua kumuacha kwa % percent but.. but when i think of sex i just find myself crying because kwa ufahamu wangu he is mkunaji zaidi ya wote niliowahi kuwa nao uuuh..

umewahi kuwa na wakunaji wangapi before?
 
ni ngumu kuwa na uhusiano utakaodumu na mtu huyo kwasababu incompatibilities ni nyingi….jaribu kuchungunza kama mna interests zinazoendana ktk maisha,mna malengo yaliyo sawa?tabia zenu zipoje?na je kuna uwezekano mmoja wenu ajishushe ili mkutane katikati…love is more than sex….
 
karibu NCCR MAGEUZI....
 
yaani jibu lako inaonesha unachagua pesa...... mpaka umepata na alternatv ya kudaka mkwanja. gud sex mbona inapatkana tu..... jitaftie kijana uone mambo. achana na vibabu.....(joke).

DONT PUT WORDS IN MY MOUTH! Nimesema ill go for GOOD SEX! Vijana wenyewe chips yai isikauke sanaa? Aaaaah wapi!
Hio alternative nimekuonesha tu you can spot money n take it even from a mile,lakini GOOD SEX these days is. Precious commodity!

WATU. VIBAMIOSIS SYNDROME, WENGINE KUBWA KUZITUMIA KUSHNEY BABU G, PURUKUSHAI MTINDO MMOJA! Cc watu8
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ila jaribu kumbadilisha coz hakuna mkamilifu
mwanzoni ilikua ngumu kujua baadhi ya tabia na mambo yake kiujumla kwa sababu hakujionyesha but as days goes nadiscover vitu tofauti na nilivyotarajia... clear??????
 
hiki ndicho kinachowaponza wasichana......... comparison.
Lazima u compee sababu huwezi swma maharage matamu kuliko mboga zote duniani wakati mboga zingine hujawahi kula? Ukionja kuku chomasi utadata kabisaaa!
Inatakiwa baada ya kuonja enough samples ndo useme kwa sample space hii nadeclare mtu falani ni best of the best!
 
hahahahaha!!!! bora upate vyote. unaweza enjoy sex kweli huku account haisomi?? halaf hao unaoweza chop monies kirahis wa wapi?? vizee vya unyamwezini ndani ndani au??
 
Last edited by a moderator:
Sasa umeanza kukomaa.

kweli Matola ana ngexi, wallah billah!
 
Last edited by a moderator:

kama maharage yako sio matamu weka tui la nazi. ww wafananisha harage la mafuta na kuku? tia tui uone kama libroila hujalitupa kule. utamu mpaka kisogoni.
 
MARK MY WORDS

MATURE LOVe MAKES ROOM FOR THE OTHER TO GROW AND TO HAVE DIFFERENT INTERESTS FROM YOUR OWN, KNOWING THAT KEEPING SOMEONE IN BONDAGE WILL NOT MAKE THE OTHER LOVE YOU MORE, HOWEVER, HAVING THE STRENGTH TO LET THE OTHER HAVE SOME FREEDOM WILL INEVITABLY HELP THE RELATIONSHIP GROW.

MATURE LOVE PERSON KNOS THAT EVEN TODAY WAS A HORRIBLE DAY, TOMORROW CAN BE BETTER, THE BAD PATCHES ARE JUST AS BENEFICIAL TO THE RELATIONSHIP AS GOOD TIMES, AS MATTER OF FACT, THEY CAN OFTEN BE MEANS TO GROWTH.

MATURE LOVE PERSON KNOWS THAT THEY OFTEN LEARN MORE ABOUT EACH OTHER DURING BAD TIMES AND IN CONFLICTING VIEW OR HOBBIES, AND EACH ROUGH SPOTS ARE MEANT TO BE AN OPPORTUNITY TO WORK THROUGH TO ANOTHER STEPPING STONE.
 
Sasa umeanza kukomaa.

kweli Matola ana ngexi, wallah billah!
Matola mtoto wa mjini tayari anayo galaxy note 3 na supraa anazipiga! Sema sio toz kama Daimondo,heis in a class of his own! Anavaa vitu brand brand sio midosho ya kkoo! I can proudly say MY MAN IS PRESENTABLE KABLA HATA SIJATIA MKONO WANGU!
Kama nawaona mnasajili new ID ku mpm my baby! Bahati yangu ilalieni mlango wazi.
 
Last edited by a moderator:

Bandugu imenibidi nikae na dictionary ya Oxford pembeni ndo ningamue ngamue ulichoandika hapa!
 
Sasa umeanza kukomaa.

kweli Matola ana ngexi, wallah billah!

Alikuwa anawaingiza mkenge tu wenzie....nilijua akipata mtu atawashangaza watu kimisimamo...mimi hajanishangaza kabisa..nilijua itafika hii siku...
 
kama maharage yako sio matamu weka tui la nazi. ww wafananisha harage la mafuta na kuku? tia tui uone kama libroila hujalitupa kule. utamu mpaka kisogoni.

Hahaaaaaaa! HATA UTIE NA ANJINAMOTO BADO HARAGE TU YAKHEEE NA SHURTI USHUZI UTAKUBANA BAADAE! Kantangazeeeeeeeeeeee! Usifananishe kifo na usingizi! Kuku ni kuku na harage ni harage! Ukichoka maharage HAMIA AIRTEL ule kuku kwa mrija!
 
Alikuwa anawaingiza mkenge tu wenzie....nilijua akipata mtu atawashangaza watu kimisimamo...mimi hajanishangaza kabisa..nilijua itafika hii siku...
Hahahaaaaaaaa! MABIG! Mkenge gani nimewaingiza watu mbona mwanitia ubaya?
 
Hahaaaaaaa! HATA UTIE NA ANJINAMOTO BADO HARAGE TU YAKHEEE NA SHURTI USHUZI UTAKUBANA BAADAE! Kantangazeeeeeeeeeeee! Usifananishe kifo na usingizi! Kuku ni kuku na harage ni harage! Ukichoka maharage HAMIA AIRTEL ule kuku kwa mrija!

hahahahahaha!!!!! harage la mbeya ndo lazma ubanwe na ushuzi!!
 
hahahahaha!!!! bora upate vyote. unaweza enjoy sex kweli huku account haisomi?? halaf hao unaoweza chop monies kirahis wa wapi?? vizee vya unyamwezini ndani ndani au??
Hela ya kibamia, mandingo, emolo, tall, pim.bi, hb, sura ngumu ZOTE HELA NA DUKANI ZAKUBALIKA VILE VILE HAIJALISHI YUPI KATI YA HAO KAKUGEA! Upo hapo bibi?

Ila mwili ni hekalu aisee na vitiavyo najisi ni viingiavyo so lazima udhibiti TBS ya muingiaji! Ukichagua nyama chagua iliyonona, na ukiamua KUZINI, ZINI NA UEFA CHAMPION, DHAMBI UMEPATA ILA UMEFAIDI ATII! Sio wapakwa shombo na midhambi juu!
 
sure kabisa na huwa natafakari na kuamua kumuacha kwa % percent but.. but when i think of sex i just find myself crying because kwa ufahamu wangu he is mkunaji zaidi ya wote niliowahi kuwa nao uuuh..

Kumbe ww unapenda kukunwa tu....sasa hayo mengine muachie mungu.
 
It depends! If i must i go for GOOD SEX! Hela unaweza kuchuna kiurahisi kwa wakuja yeyote but GOOD SEX these days aint easy to get any!

Wowww i sm surprised!! Matola kakupa nn bi dada??
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…