Dillemma!!

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
67,252
Reaction score
168,563
As heading inavojieleza mwenzenu nashindwa kuyaelewa mapenzi. hivi bora nifurahi kwa muda fulani na nikose amani maishani mwotee ama vice versa is true? kwa sababu mpenzi wangu tunatofautiana interests kabsaa yani kila kukicha ni kugombana but kunako 6*6 ni fundi haswaa really ananimarrlliza na kuniacha hoi!
Sasa anataka akanitambulishe kwao.. Je nitaishije na mwanaume ambaye nahisi hanipi amani ninachofurahia kwake ni tuwapo kitandani tu na life is not only about kugegedana.? ata sijui yani..Ushauri pls
 
ni ngumu kuwa na uhusiano utakaodumu na mtu huyo kwasababu incompatibilities ni nyingi….jaribu kuchungunza kama mna interests zinazoendana ktk maisha,mna malengo yaliyo sawa?tabia zenu zipoje?na je kuna uwezekano mmoja wenu ajishushe ili mkutane katikati…love is more than sex….
 
Naona kama hapo ushajishauri.
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…