CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Nimetapika double kick zangu 3 ,hiyo 6600 peter banda hajui nime suffer kiasi gani kuipata kununua hizo sumu za dabo kiki,iam dejected totally flabbergasted by that second half performance,wangese wote wakiongozwa na shoga wawaMkuu acha kukata tamaa! mapema sana, vijana wanaweza! tatizo ni umakini tu! na wengi wao wanaichukulia poa simba ila baada ya haya matokeo ndo wataijua simba halisi. nafikiri baada ya hapo akili itawakaa sawa na watacheza mpira unaotakiwa na wanasimba.
It is not over until it is over mkuu. By the way safari ya uchi wa mnyama imeishaanza?Dah mechi ya utopolo alikwasha akambana Djuma Shaban kupanda akatolewa leo tena katoka naona Peter Banda kaboa.
Dilunga alimkoseaga nini mzungu. Asee na kwa urukaji ule wa pascal wawa mungu atusaidie tu
Sibishani tena na utopolo tuwaachie ubingwa wao mwaka huu
Dah mechi ya utopolo alikwasha akambana Djuma Shaban kupanda akatolewa leo tena katoka naona Peter Banda kaboa.
Dilunga alimkoseaga nini mzungu. Asee na kwa urukaji ule wa pascal wawa mungu atusaidie tu
Sibishani tena na utopolo tuwaachie ubingwa wao mwaka huu
Simba imepwaya sana msimu huu.Mkuu acha kukata tamaa! mapema sana, vijana wanaweza! tatizo ni umakini tu! na wengi wao wanaichukulia poa simba ila baada ya haya matokeo ndo wataijua simba halisi. nafikiri baada ya hapo akili itawakaa sawa na watacheza mpira unaotakiwa na wanasimba.
Yawezekana wachezaji wali bet mechi hii!Wachezaji wa Simba wanajiamini na kudharau game wakati ni game la mtoano ,wapumbavu kabisa ,unaona uwezo wanao lakini kila mtu anafanya show game,pumbavu zao
Yanga hajahonga tena ili Simba atolewe?Dah mechi ya utopolo alikwasha akambana Djuma Shaban kupanda akatolewa leo tena katoka naona Peter Banda kaboa.
Dilunga alimkoseaga nini mzungu. Asee na kwa urukaji ule wa pascal wawa mungu atusaidie tu
Sibishani tena na utopolo tuwaachie ubingwa wao mwaka huu
Hamna bhana....Wachezaji wa Simba wanajiamini na kudharau game wakati ni game la mtoano ,wapumbavu kabisa ,unaona uwezo wanao lakini kila mtu anafanya show game,pumbavu zao
Simba hajatolewa bado yuko 32 bora naomba atleast kwa.leo nipumzike na utoYanga hajahonga tena ili Simba atolewe?
Hebu twende taratibu... hatua kwa hatua!!Dah mechi ya utopolo alikwasha akambana Djuma Shaban kupanda akatolewa leo tena katoka naona Peter Banda kaboa.
Dilunga alimkoseaga nini mzungu. Asee na kwa urukaji ule wa pascal wawa mungu atusaidie tu
Sibishani tena na utopolo tuwaachie ubingwa wao mwaka huu
Hahahah Msimu huu kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kuwa Yanga ndio Mabingwa.Dah mechi ya utopolo alikwasha akambana Djuma Shaban kupanda akatolewa leo tena katoka naona Peter Banda kaboa.
Dilunga alimkoseaga nini mzungu. Asee na kwa urukaji ule wa pascal wawa mungu atusaidie tu
Sibishani tena na utopolo tuwaachie ubingwa wao mwaka huu
Hakuna wajinga kama uongozi wa simba wana mchezaji mzuri lakini wameweka bench sijui wanamkomoa au wanataka kumshushia kiwango mkude kiboko cha nkanaPoleni sana Simba kwani sasa mtajifunza kuwa mpira ni dakika 90.
1. Sub ya Dilunga haikustahili kwani siku hizi kazi ya washambuliaji wa pembeni ni pamoja na kukaba.
2. Goli la pili na la tatu aulizwe Manula. Kiufundi mipira yote ya juu ndani ya hatua sita golini ni ya golikipa. Kumlaumu Wawa ni kumuonea tu.
3. Peter Banda ni mchezaji mzuri lakini bado ni "promising" kwa hiyo bado anajifunza. Pia sio mkabaji mzuri yeye anajua kushambulia tu. Kitendo cha kumuingiza na kumtoa Dilunga ndio dhahama ilianzia hapo. Mbaya zaidi leo Peter Banda ndio kawaua kabisa Simba kwani kakosa magoli matatu muhimu tena ya wazi ndani ya boksi.
4. Boko umri umeshaanza kumtupa mkono kwa hiyo anapaswa awe anatumia si zaidi ya dakika 30 kwenye mechi moja. Sijui ni kwa nini Simba hawakufanya maamuzi magumu wakati wa usajili kuachana na Mugalu au Kagere na kutafuta mshambuliaji aliyekamilika ili kumpunguzia majukumu Boko.
5. Timu ilicheza "kifadha" sana tokea mwanzo na kuwadharau wapinzani wao kiasi badala ya kutafuta magoli wao walikuwa wanacheza "show game" hasa Morison na mashabiki waliokuwa uwanjani wakawa wanawapa kichwa kwa kuwashangilia. Ubao ulipaswa kusoma Simba 4 - Galaxy 0 ndani ya dakika 45 za kipindi cha kwanza. Na hata mechi ilipofika kuwa sawa 1 - 1 bado wachezaji wa Simba hawakushtuka kabisa.
6. Lawama pia ziliendee benchi la ufundi kwa "sub" na mbinu za ovyo. Tuliwaonya sana hapa jamvini kabla ya hata mechi ya kwanza kuwa wasiwadharau Galaxy na hata tukawapa mfano walivyowadharau Kaizer nini kilitokea lakini wapi. Mchezaji anachukuwa mpira badala apeleke haraka mbele watu wafunge wao wanapiga "biriani"ambayo haina faida na makocha wamekaa tu badala ya kuwafokea wachezaji wapambane.
7. Ushauri wangu kwa viongozi wa Simba ambao niliutoa hata kabla ya usajili wa mwaka huu kuanza. Kwenye dirisha dogo ni lazima wafanye maamuzi magumu watafute mshambuliaji wa kimataifa aliyekamilika na hasa mwenye matumizi mazuri ya kichwa na miguu yote. Kisha waachane na mshambuliaji mmoja kati ya Kagere au Mugalu kadiri wanavyoona wao. Lakini pia wamsajili Lusajo wa Namungo kama mbadala wa muda mrefu wa Boko. Kwani sasa ni wazi kuwa Boko hatakuwa na uwezo alio nao sasa baada ya misimu miwili ijayo.
Huyo Gomez ndo yule Kalumekenge aliyekacha shule akakimbilia Afrika kutafuta vibarua kwa ajili ya kukimu familia yake?!
Watu tulisema hapa Simba ambayo ilifika 1/4 na kutwaa ubingwa ilikuwa ya Kishingo na sio ya huyu Kalumekenge, watu mkabisha!!
Huyo Banda na yeye hana tofauti yoyote na Kalinyo wa Yanga... wote soft sana, ingawaje mwenzake ilikuwa akipata nafasi, anaupiga si kitoto!!