Mkuu acha kukata tamaa! mapema sana, vijana wanaweza! tatizo ni umakini tu! na wengi wao wanaichukulia poa simba ila baada ya haya matokeo ndo wataijua simba halisi.
Nafikiri baada ya hapo akili itawakaa sawa na watacheza mpira unaotakiwa na wanasimba.