Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Mimi chadema mkuuMkaongelee kwenye kikao cha chama. Msituchoshe.
Hivi huu uwanja na vile vingine hawa mafisiem walivichukuaje?!Leo nafuraha Tena kuliona dimba hili maana ni miaka mingi halitumiwi na limetelekezwa
Hivi kwann lisiboreshwe liendelee kutumika hata kwa timu za jirani?
NB: dimba kubwa baada ya mkapa stadium
View attachment 2774477View attachment 2774481
Waurudishe tu serikalini au wawape wawekezajiHivi huu uwanja na vile vingine hawa mafisiem walivichukuaje?!
Hii not siku nikikamata usukani kuna watu watalimia fizi kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati umefika viwanja hivi viundiwe kampuni ya kuviendesha. AFCON yaja Nigeria watazaka kufanya mazoezi pale lkn viwango vitawakwamisha kutumia.Waurudishe tu serikalini au wawape wawekezaji
Hilo sahihi mkuuWakati umefika viwanja hivi viundiwe kampuni ya kuviendesha. AFCON yaja Nigeria watazaka kufanya mazoezi pale lkn viwango vitawakwamisha kutumia.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app