Dimpoz kwa mwanaume ni za nini?

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Posts
12,037
Reaction score
17,212
Najua Kwa mwanamke uongeza urembo sasa Kwa mwanaume ni za nini au ndo mwanaume kuwa na Sura ya kike
 
Mmm wakati wote dimpoz ni urembo kwa mwanaume na mwanamke
 
baadae naomba uwaulize wanabodi juu ya hizo chuchu kwenye kifua cha mwanaume zinamaanisha nini
 
Mwanaume kuwa na dimpoz ni umamiloo.
 
Kwanza ifahamike kuwa dimpoz ni aina moja wapo ya kilema ila kwa nchi za ukanda wa Africa wanafanya kama urembo
 
Japo hukunilenga mimi ila nimekerwa na post yako... Hivi mtu kuwa na dimples unachagua au ni automatically unazaliwa nazo? Kwanini muanze ku critisize uumbaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…