MC44 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 2,169 Reaction score 3,297 Mar 22, 2019 #1 DIMPLES hutokana na mapungufu katika utengenezwaji wa misuli ya uso inayoitwa zygomaticus major.Hali hii husababisha kujivuta kwa ngozi na misuli ya uso wakati wa kutabasamu,kucheka au kuonesha furaha hivyo kutengeneza mashimo usoni. Dimples ni ulemavu Nitarudi kuelezea mwanya Sent using Jamii Forums mobile app
DIMPLES hutokana na mapungufu katika utengenezwaji wa misuli ya uso inayoitwa zygomaticus major.Hali hii husababisha kujivuta kwa ngozi na misuli ya uso wakati wa kutabasamu,kucheka au kuonesha furaha hivyo kutengeneza mashimo usoni. Dimples ni ulemavu Nitarudi kuelezea mwanya Sent using Jamii Forums mobile app
Ochumeraa JF-Expert Member Joined May 18, 2015 Posts 4,505 Reaction score 5,715 Mar 22, 2019 #2 Huo ulemavu unapendwa na wavaa skirt....ukiona wewe unavaa suruali na unapenda kuwa na huo ulemavu utakuwa na upungufu mahali
Huo ulemavu unapendwa na wavaa skirt....ukiona wewe unavaa suruali na unapenda kuwa na huo ulemavu utakuwa na upungufu mahali