sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 54
Nasikiliza clouds fm dina marios anauliza watu wanapenda harufu gani mbaya...wengine wanasema wanapenda harufu ya uke,,kinyesi, petroli na kadharika...mimi najiuliza hii inafaida gani kwenye jamii? Hawa wasichana nadhani wamechanganyikiwa.....na asitokee mtu hata mmoja aniambia niache kusikiliza clouds...radio ni kioo cha jamii...​
the topic itself does not suit ethical guidelines in broadcasting, bad tastedina hana kosa, mwenye kosa ni huyo aliyesema aina hiyo ya harifu.
Nasikiliza clouds fm dina marios anauliza watu wanapenda harufu gani mbaya...wengine wanasema wanapenda harufu ya uke,,kinyesi, petroli na kadharika...mimi najiuliza hii inafaida gani kwenye jamii? Hawa wasichana nadhani wamechanganyikiwa.....na asitokee mtu hata mmoja aniambia niache kusikiliza clouds...radio ni kioo cha jamii...​
Dina hana kosa, mwenye kosa ni huyo aliyesema aina hiyo ya harifu.
Ukifanya kazi pale Clouds kipindi unaandaa mwenyewe Edit ya vipindi unafanya mwenyewe wala hupati shida mifano mizuri sikiliza vipindi vya kina Hando ni kina Kibonde! ukitaka kusikiliza vipindi vya Clouds unatakiwa uwe mwehu!
Kweli kabisa wamechanganyikiwa maana utaulizaje kitu kama hicho sijui wamekosa mambo ya kuongelea au inakuwaje. Yaani kuna mambo kibao ya maana ya kuongelea wanaishia kuonge aupumbavu na hiyo inaonyesha jinsi gani upeo wao wa akili ulivyo finyu.Nasikiliza clouds fm dina marios anauliza watu wanapenda harufu gani mbaya...wengine wanasema wanapenda harufu ya uke,,kinyesi, petroli na kadharika...mimi najiuliza hii inafaida gani kwenye jamii? Hawa wasichana nadhani wamechanganyikiwa.....na asitokee mtu hata mmoja aniambia niache kusikiliza clouds...radio ni kioo cha jamii...​