Dina Marios, tafuta mtu akushauri mavazi

Sara

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2014
Posts
1,060
Reaction score
932
Dina Najua Upo Hapa JF, Kwanza nianze kwa kukusifu, Dina wewe ni Mwanamke Imara sana, Kwa yale Ambayo Nayaona mimi. Sikujui personal, Ila Kwa maandishi yako, Ongea yako kwenye vyombo vya habari, Malezi yako kwa mtoto wako.Dina hata ukija taka kuolewa wewe utakuwa mke mwema sana kwa mumeo.

Mimi Napenda Sana Vile Unapanda Mauwa Nyumbani kwako, napenda vile Unapenda Jiko Yaani Misosi Yako ukituwekea Picha, Hata sijui kama unae msichana wa kazi au Unapiga Mzigo Mwenyewe.

Zaidi ya YOTe ni vile huna dramas katika life style yako, yaani mi unanikosha sana Dina. Kwa u star Ulionao Dina Uko humble Sana.

Sasa La Pili Hili Ndio hasa Ujumbe Wangu Kwako, Dina umenenepa sana, yaani Hupendezi, Dina Najua huwa unafanya mazoezi, Maana Unatuwekea Picha za Mazoezi ila Sasa Mazoezi Bila kunguza Posheni/Ujazo wa Chakula ni Bure.

Tatu Na La Mwisho, Dina Tafuta Mtu Wa kukushauri Kimavazi, Yani Mtu awe Kama Hana Wana Mitindo, Noel, Rio, Kadinda, Hasanali au Hamisa.

Hii Picha Ndio Imenifanya Nikwandie Haka Ka Ujumbe

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…