Dina Marios, tafuta mtu akushauri mavazi

Boss Marehemu alishafagia hapa
 
Mkuu....
Kwani wewe haujui kwamba wanawake wengi huwa wanapenda kupiga picha wakiwa wamegeuka...!!??
By the way, huyo Dina ni Disii wa wapi kwani...!!??
Dina ni Mama machachari sana Katika Tasnia ya utangazani, u DC achia kina buku saba haha
 
kila mtu ana celebrity wake anayemfuatilia sasa we si ufunguke vuzuri hi zo tetesi sababu huyo dina inaonekana mnafanya nae kazi
Yes kila Mtu ana otu wake mi napenda sana Dina, ako na akili kubwa flani hivi
 
Binadamu tunapenda kupangiana maisha sijui kwanini tu[emoji134][emoji134][emoji134]
Hao ndio ma super star wetu, lazima tuwaambie pale tunapoona mambo hayatupendezi tena. ila angekuwa dula, mwajuma toka gongo lamboto wala tusingejali hahaha
 
Watu mna muda wa kuchezea, sasa wewe maisha yake yanakuhusu nini..!?

Mwache aishi apendavyo na impendavyo mwenzi wake..


Sent from my iPhone using Tapatalk
Hayanihusu, ila mi nishabiki yake, ndio kazi yetu mashabiki kushabikia hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…