umbea utawauwa....kwani mtu hawezi kupiga picha hivyo na rafiki yake?
aisee habari yako binafsi niaje..?
niko poa kabisa........nimemiss wewe
Hongereni sana Reuben na Dina zidisheni mapenzi kati yenu mpaka kina Loveness Diva wazidi kuumia na kutangaza mamaaa anatumia juju kudumisha penzi maana wao watu wakilamba wanateleza:love:
wanaishi kwa umbeaumbea utawauwa....kwani mtu hawezi kupiga picha hivyo na rafiki yake?
Nyamayao...heshma yako...kuna wakati humu ndani kuna kuwa na ujinga mpaka inaboa....hebu tutolee udaku bwana unaboa kweli...inakuhusu nn?
kuna wakati humu ndani kuna kuwa na ujinga mpaka inaboa....hebu tutolee udaku bwana unaboa kweli...inakuhusu nn?
unabip sana bana.. me miss u more! yaeda wazima?
ee shost jamani tafadhali nijuze zaidi,,eti diva nn vile???????
umeolewa?umbea utawauwa....kwani mtu hawezi kupiga picha hivyo na rafiki yake?
Landrover kuvuta scania semi tela si ajabu etii,ndio maajabu ya dunia banduguView attachment 26247Hakika mwa pendeza nyie, lkn msikomee njiani.
kuna wakati humu ndani kuna kuwa na ujinga mpaka inaboa....hebu tutolee udaku bwana unaboa kweli...inakuhusu nn?
wakwetu habari ya masiku....ni nini kupotea hivyo lakini?