Dina Marios vs Reuben Ndege LIVE


Wanaota ndoto za kimbea,
Matokeo yake tunakuntywa kikombe cha kimbeambea.
 
hongereni sana dina na reuben..wote nawapenda sana..dina ni wife material
 
Samahani wakubwa eti hapa panaitwaje?? Naomba mnionyeshe njia ya kwenda nyumbani:help:
 
Huu udaku,, ila pale malijali wachache ukihesabu , chap chap malijali labda Wanaume kama mabiti aka Gardner Habash, E. Kibonde. G.Hando. P .James, and R. Ndege, wengine wote walio baki dah kuna mashaka makubwa .
 
Dina Marios katangaza leo kuwa ana mimba ya Reuben Ndege.
 
Its trueeeee...........and zat aeroplane oops sorry zat bird has already preginanted her...........so she will be missing 4 a couple of month, until she opens herself.
 
Leo tena itapwaya sana......gea habib nae mjamzito mda si mrefu wote watakua likizo ya uzazi...
 
Leo tena itapwaya sana......gea habib nae mjamzito mda si mrefu wote watakua likizo ya uzazi...

Naye tena ?...Hii ndio shida ya kusindikizana....shoga nina mtoko twende..........
 

Yeah! Is it possible in this forum?
 
Iyo clouds media ni love connect,Ruge alizaa na Mketema,haya Uyo Dina na Reuben. Wanagegedana wenyewe kwa wenyewe.
 
Iyo clouds media ni love connect,Ruge alizaa na Mketema,haya Uyo Dina na Reuben. Wanagegedana wenyewe kwa wenyewe.
Nadhani ni kawaida tu..........ndio maana pia wake za madokta ni manesi kwa asilimia kubwa.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…