Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Jamani kipindi hiki cha Dina Marious mbona hakisikiki au amefukuzwa kazi Clouds.
Mwenye taarifa zaidi anipe taarifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chaku si ungeuliza tu Dina yuko wapi mbona hasikiki masuala ya kufukuzwa kazi si kurushana roho tu ndugu yangu?
Subiri watakuja kukujibu wenye ufahamu
Kuchukua likizo ndo nakipindi kife jamani?hakuna mwingine wa kukiendesha kipindi?Jamani kachukua likizo fupi si mnajua tena akina mama.
Kuchukua likizo ndo nakipindi kife jamani?hakuna mwingine wa kukiendesha kipindi?
mi ni mpenzi mzuri wa kipindi kile sasa nimeshituka kuona JIIIIIIIIIIIIIIII!!
Unasikillizaga Leo Tena......?
kaizer ndio ndugu yangu nasikiliza ingawa si kila siku kwani kazi zinapobana mh!! Hata headphones hutakumbuka!
kwani ipo online au una karedio kadogo..LOL
Umesahau kuna simu zenye redio?
Umesahau kuna simu zenye redio?
hehehehe mkuu si unajua vitengo ukimtrain mtu anajua kama utamzidi makali yeye anakomaa kivyake toka nae alipo chukua mikoba kwa Amina Chifupa anakomaa tu mwenyewe lakini tatizo jingine ni kwenye ajira labda clouds hawana mkwanja wa kuajili mareserve kibao.
Kwa hiyo na Gea habibu naye yuko likizo naona simskii kabisa kulikoni hizi private sector za kibongo?yaani Boss akienda likizo hata subordnate wanaondoka?
Management of employees is a big challenge to most private companies in tz. Ni udhaifu mkubwa mtu kuondoka na ofisi. Hawana business continuity plans, it seems.
Hivi wakuu mnazungumzia redio ipi? Clouds hii hii 88.4? hakuna la kushangaza hapo!
Kwa hiyo na Gea habibu naye yuko likizo naona simskii kabisa kulikoni hizi private sector za kibongo?yaani Boss akienda likizo hata subordnate wanaondoka?
Dah si unajua tena mkuu hapa bongo ubabaishaji mwingi ukiajili watu kibao kitengo kimoja utawalipa vp?
kwani ipo online au una karedio kadogo..LOL