DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Laiti ningepewa walau sekunde moja ningekuambia vile nakuhusudu toka nikujue hapa jf!!!
Nitahitaji wino wa wingi wa bahari kukueleza mahaba yangu kwako!
Unanijia ndotoni nilalapo niamkapo natembea nawe moyoni
Uendelee kupona haraka nije nikuambie jambo flani