Wewe chura ninae sasa nakalia nini acha kuniharibiaTatizo hana chura![emoji28][emoji28][emoji28]
Umeshamuambia mahali yetu ilivyo ndefuHey yo, it's love of JF, MMU...
All the best mazee.
What up Valentines?
Ana wivu huyo mwambie hatufugi mabwawa sieChura Mimi sina mbwawa [emoji23] [emoji23]
Maana nini tena aseeh mzeeMkuu utatoka na yupi maana......
Hahaahha kumbe umemshtukia eee halaf valentine kaona inasogea kaona acha awahi kabisa maana jf watu sio wazuriUko fast, jana kaweka vipimo vyake humu nawe hujapoteza muda.