Dinazarde nakupenda

Bana ee kama kweli upo serious mnunulie vocha 10000 mtumie pm sio kuuza sura kwa ID ya mwenzio nae anahitaji bando la kuja kukujibu hapa. Haya changamka mtoto wa kiume. Hio vocha haimaanishi umechunwa ni zawadi ya kumkubali
Bora kabisa Numbisa hawa wanaume wametuchosha na maneno tu,,Dj afanye mambo ili niandike gazeti kabisa
 
Kabisa pata bando hata tukikutana anga za wanawake wa dabiliusibi tubishane vizuri
Bora kabisa Numbisa hawa wanaume wametuchosha na maneno tu,,Dj afanye mambo ili niandike gazeti kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…