Nitakutetea vingine ila sio mapenzi mubashara.We unakubali nini wewe unatakiwa unitetee
Kawaida tuNi marafiki wa faida?
Huoni kaboom ananiharibia li S lipo tokea jana sitaki mambo yaharibike oohNitakutetea vingine ila sio mapenzi mubashara.
Li tena...Huoni kaboom ananiharibia li S lipo tokea jana sitaki mambo yaharibike ooh
Haha naona umependwa!! Ila dina ile avatar yako ile ya mwanzo ilikuaga tamuuu nilikua naichungulia kila saa.... unakumbuka nilikuibukia PM binti mrembo? Irudishe aisee.....Wewe chura ninae sasa nakalia nini acha kuniharibia
Dawa umemeza lkni?Napendwa mwenzio umepata shemelaa
Jirani nikikuona tu moyo wangu una mwemwereka wenyeweJirani na wewe nakupandishia uzi soon
Mi nilisha rogwa Mara kumi na mbili mpaka nahama nchi sio mchezo sasa huo uchawi wamabusha nitaufurahia sana [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mndali ntakuroga busha[emoji23] [emoji23]
Nafikiri hichohicho kiwango ni applicable kwako? Nipokee nitakapobisha
Nipo muosha mananiliu... Nani amekutekaDada upoo
Copied.Hewalaaaaa ila upige hodi mara mbili ya tatu ndo kitu cha vocha sio kama muosha masufuria kapiga hodi moja tu
Mwosha masufuria[emoji776] [emoji776] [emoji776] [emoji776] [emoji776] [emoji776]Hewalaaaaa ila upige hodi mara mbili ya tatu ndo kitu cha vocha sio kama muosha masufuria kapiga hodi moja tu
Ngoja nimuite babu aspirin anisaidie kukurogaMi nilisha rogwa Mara kumi na mbili mpaka nahama nchi sio mchezo sasa huo uchawi wamabusha nitaufurahia sana [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
HongeraDinazarde
Sawa ila najua wimbo wa man fongo utanisaidiaNgoja nimuite babu aspirin anisaidie kukuroga
Nke ya ntu sumu