Dinazarde nakupenda

Haha naona umependwa!! Ila dina ile avatar yako ile ya mwanzo ilikuaga tamuuu nilikua naichungulia kila saa.... unakumbuka nilikuibukia PM binti mrembo? Irudishe aisee.....
Umepata shemela hahaha,,
Hata siikumbuki lakin si ilikua ya amber rose huyu huyu ama?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] pole
Kuna kaka yangu dokta yupo Musoma ndio kaniambia kama ni cipro gram 250 ndio nakunywa mbili,kama ni gram 500 natakiwa ninywe kidonge kimoja tu,ntakunywa asubuhi
 
Hapa sijaelewa kidogo,

Mwanamke kapendwa na mwanamke mwenzake....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…