MTOTO: Baba ntumie hela ya matumizi huku shuleni hali ni mbaya la sivyo ntajinyonga.
BABA: Huku nyumbani hali ni mbaya kuliko huko shule, kwa hiyo kama unajinyonga sawa tu sababu utapunguza bajeti, kopa kamba dukani nitakuja kulipa nitakapokuja kuchukua mwili. Mungu akulaze mahala pema peponi.