Sisi ndio tumeshindwa kuielewa. Tena dini usipoielewa vizuri inaweza kukuuwa kabisa na kuharibu maisha yako yote. Kwa bahati mbaya sana wanadamu wamevurugwa sana na dini na pia dini zimetumika kuwapotosha watu na kuwafanya wawe mbali zaidi na Mungu! Kuwa mwangalifu sana na yale unayoyaamini.Ni kwamba DINI ndo inayotugawa au ni sisi ndo tumeshindwa kuielewa?
Hii ni kote hadi hospital na kwingineko mwenye pesa kwanzaDini ilikua na lengo zuri
Ila Waafrica kama kawaida yao ni watu wakuharibu mambo.
Makanisani; wenye pesa wanapata favour kuliko maskini.
Viti vya mbele wanakaa wenye vyeo na matajiri tu...!
Sasa dini ingeleta huo utofauti...!Hii ni kote hadi hospital na kwingineko mwenye pesa kwanza
Moja ya malengo makuu ya dini ni kujikusanyia na kujilimbikizia utajiri na Mali ndio sababu ukristo kupitia Roman Catholic ndio taasisi inayoongoza kwa kuwa na utajiri wa rasilimali (hasa madini-vito) na mali DunianiSasa dini ingeleta huo utofauti...!
Ubinafsi ndiyo tatizoNikiwa kwenye harakati za utafutaji nikakutana na fursa nikaona niruke nayo maana nakidhi vigezo vyote,Cha ajabu nikaja kukataliwa kisa sio muumini wa DINI fulani...
Nimekua nikishuhudia watu wakitengana,wapenzi wakishindwa kuoana,watu kifanyiana chuki za wazi wazi kisa tu wako na imani tofauti
Imekua kawaida watu kufanya maovu na kujificha kwenye kivuli cha kujifanya mtu wa dini sana
Ni kawaida pia watu wa dini kujitenga kwa kujiona wao ni wa tofauti na watu wengine
Ni kwamba DINI ndo inayotugawa au ni sisi ndo tumeshindwa kuielewa?
Nani ametengeneza hizo dini na lini?Dini zimetengenezwa ili kumpumbaza mwanadamu na kuendelea kumtawala kupitia imani za hizo dini
Tafuta maarifa nimeshakutafunia usitake nikusaidie kumezaNani ametengeneza hizo dini na lini?
Kama hoja yako ina mashiko ungesema hapa ni nani ametengeneza dini, kama huwezi kusema basi hoja yako haina maanaTafuta maarifa nimeshakutafunia usitake nikusaidie kumeza
Hapo ni pesa sasa sio dini tenaDini ilikua na lengo zuri
Ila Waafrica kama kawaida yao ni watu wakuharibu mambo.
Makanisani; wenye pesa wanapata favour kuliko maskini.
Viti vya mbele wanakaa wenye vyeo na matajiri tu...!
Sure mkuu kuna wengine hata harakati za uhuru wanasema sisi dini ndio tulipambana..Nikiwa kwenye harakati za utafutaji nikakutana na fursa nikaona niruke nayo maana nakidhi vigezo vyote,Cha ajabu nikaja kukataliwa kisa sio muumini wa DINI fulani...
Nimekua nikishuhudia watu wakitengana,wapenzi wakishindwa kuoana,watu kifanyiana chuki za wazi wazi kisa tu wako na imani tofauti
Imekua kawaida watu kufanya maovu na kujificha kwenye kivuli cha kujifanya mtu wa dini sana
Ni kawaida pia watu wa dini kujitenga kwa kujiona wao ni wa tofauti na watu wengine
Ni kwamba DINI ndo inayotugawa au ni sisi ndo tumeshindwa kuielewa?
naijua ila sitaitaja maana wale waumini huwa wana hasira za harakaKwa tafsiri yako binafsi Dini ni nini ?; Na je kuna Dini inayosema categorically kwamba wale ni wao na sisi ni sisi ? Na kama ndivyo na hio Dini ipo basi naweza kusema haifai....