Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Dahhh
Pole sana mkuu.
Nnachotaka kusema ni kwamba
Kama kweli huyo mmama ana nia nzuri
Kwako angekusaidia bila kutaka something
In return.. au agekupa option ambayo wote
Mnaikubali..
Anyway , you are your own boss. .
Last decision comes from you. .
Think first. Take care , be safe .....
Are you religious?
I'm Christian and I don't belong in any religion ..
Are you religious?
Very funny! Christianity is a religion my friend.
I think, what you wanted to say was you are a non-denominational Christian. But you can't say you are a Christian but you don't belong to any religion. Got it?
No, I am not religious.
your just trying to use
Complicated words to describe
Christianity.. I'm gonna stick to what I said before ..
je,wewe ni mfiraji?
ANACHOKITAKA NIFANYE NAYE KINYUME CHA MAUMBILE na nikikubali hilo atanipatia sehemu ya tenda yake ya kusupply nyama kwenye hotel na hospital flani flani. Je nifanyeje na binafsi sitaki kufanya mapenzi nae japo biashara anayonieleza nimeanza kuona uzuri wake?
yani ww mpaka umekuja hapa uko ktk hatihati ya kufanya ilo tukio mana ungekua mwanaume rijali anayeheshimu maamuzi yake ungeshamjibu kua hutaki na wala usingeleta huku jf hii upuuzi yako........mana inaonekana akitokea mtu akikupampu utafanya bisha?
cpendi wanaume wa ivi wasioweza kusimamia maamuzi yako once wakipata matatizo mana ww inaonekana uko dilema na kwann uwe ivo kama hupendi na dini yako yakusuta loh!
na log off by washawasha
swali hiyo kanga moja unamkuta nayo wapi? Nahisi kama tayari ushambinjua kwa mbele sasa anataka umbinje na upande mwingine. LOL
Maswali yenye majibu yake tayari, huitwa "Kitendawili"
Yehova Yire= God the provider, mtii huyo na fuata maagizo yake tu.
Tafuteni kwanza ufalme wa mbinguni, mengine yote mtazidishiwa.
Are you religious?
Mungu anakupima hapo ktk mafanikio yako je utenda kinyume na maadilli na hata amri zake? ukiweka tamaa mbele ni wazi utamuudhi hata muumba wako ilopo kataa na hata akikunyima hiyo tnda hajakukata mikono wala miguu Mungu bado atakuonyesha sehemu yenye maslahi zaidi pls kuwa mwangalifu
Kimbia haraka hapo, ikiwezekana kata kabisa mawasiliano naye!