MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
Dini ni mpango wa binadamu katika kumtafuta Mungu.
Hakuna anaejua ukweli kama binadamu yupi ameupatia mpango huo ama ameukosea.
Waislam wanaamini wapo sahihi na wakristo wataenda motoni.
Wakristo nao wanaamini wapo sahihi hivyo waislam wanakosea wataenda motoni.
Wasabato wanaamini wao ndio wapo sahihi na wa katoliki wanakosea hivyo wataenda motoni
Wakatoliki nao wanaamini wao ndio wapo sahihi. Wasabato wanakosea hvyo wataenda mtoni
Dini zimesababisha mauaji mengi sana ya binadamu.
Ukweli dini ni kitu hatari sana.