Dini ni utapeli,njia, harakati, mishemishe, mbilingembilinge za mwanadamu kutafuta riziki kupitia jina la Mungu
Wokovu ni njia ya Mungu kumtafuta mwanadamu aliyepotea dhambini
Wokovu ni simple tu ,
Dini sasa ,ndio hizi unasikia watu wameuziwa maji ,mafuta ,keki kwa 100k
Ndio hizi unasikia kumpiga mawe shetani na kunufaisha Saudia Arabia
Ndio hizi unaambiwa usipoenda kanisan au misikitini huwezi kuiona pepo
Dini zimeweka taratibu za vitisho ,Hadi matajiri wanamwaga pesa
Dini ndio hizi Wana taratibu masikini akifa hazikwi na padre au sheikh ila kingunge ngombare mwiru alizikwa na Maaskofu
Hizo ndio dini
Dini ni biashara Leo masanja ni Mchungaji anakusanya zake sadaka ,mwamposa kutoka ileje ni nabii
Matapeli kina Mazinge, sheikh Firdaus, Sharifu majini na matapeli wengine wanauzia watu ,maji ,mafuta n.k
HIZO NDIO DINI NA WATU WAPO TAYARI KUZIPIGANIA HATA KUUANA
Lakini Wokovu ni simple tu ,cheki yule mwizi msalabani alivyookolewa ,hajawahi kubatizwa wala kufata taratibu zenu za dini
Yesu alisema ,Watoza ushuru na makahaba wanawatangulia kuingia mbinguni,aliwaambia viongozi wa juu wa DINI
Maana Dini zimejaa utapeli mwingi sana ,