Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
HahahaaMwijaku ni chawa pro max, ndio chawa namba moja, ni chawa mwandamizi akifuatiwa na baba levo, hawa wamejitanabaisha kuwa ni big chawa, ndio maafisa wa uchawa
Achana na habari za mashogaMwijaku ni moja kati ya wafia dini ya Allah na anadai kuwa hata mtume alikuwa na chawa walioitwa Maswahaba na anadai hao jamaa walikuwa na makhaba na mtume hivyo si vibaya mtu kuwa chawa.
Kumbe Allah anaruhusu haya mambo au Mwijaku anatudanganya?
KhaAchana na habari za mashoga
Kwahiyo dini inaridhishwa na mienendo yake?Mahaba yake ya kimaslahi asiingize dini yetu tukufu Mtu ana mume wake unahangaika nae wa nini