baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,063
- 12,808
Mbwa anakuwa trained, na Uwindaji sio tu kukamata mnyama, Mbwa anakamata vitu vingi tu.Kwenye uwindaji akimkamata mnyama huyo mnyama hawi haram?
Hakuna bacteria wowote wanaoweza kufa kwa kuoshwa na maji ya baridi pekee.Mate ya mbwa ni najisi kwa maana mbwa akikulamba mguu au mkono wako basi hiyo ni najisi. Ili hiyo najisi iondoke inatakiwa uoshe hiyo sehemu ambayo mbwa amelamba. Na utaosha mara 7 yani utaosha kwa maji na mara moja kwa mchanga. Na hivi hivi pia ukiguswa na nguruwe. Nguruwe ni mwili wake wote ni najisi sio mate tu.
Unaweza kufikiri huu ni wazimu lakini imefahamika cientifically kwamba mate ya mbwa au najisi ya nguruwe yana bacteria ambao hawaondoki wala kufa kwa kuoshwa na maji pekee.
Kuna daktari mzungu kutoka America alienda kufanya kazi Egypt akashangaa kusikia kuwa mbwa akilamba sehemu unatakiwa uoshe mara saba na moja wapo iwe ni mchanga (mchanga plus maji).
Akafanya mwenyewe uchunguzi akachukua chombo kilicholambwa na mbwa akapima akakuta kina bacteria wengi. Na akaosha kwa maji pekee na kisha akaenda kuipima tena maabara akakuta bado kuna bacteria wale wale wapo hawajaondoka na akaosha tena ile container kwa maji na mchanga kama alivyo elekeza Mtume Muhammad SAW kisha akaenda kupima tena akakuta hakuna bacteria aliyebaki katika chombo kile. Huyo Dr alikuja kusilimu. Ngoja nikiipata clip yake nitaiweka hapa
Kama wakitoweo ruksa.Uislamu una muongozo gani wa kidini katika kufuga mbwa wa ulinzi au kama mnyama kipenzi(pet) na kuishi ndani ya nyumba?
Hali ya ufugaji mbwa Uarabuni ikoje?
Sasa mbwa akimkata mnyama si lazima ampake mate yake ambayo ni najisi au utamuosha huyo mnyama mara saba kwa maji na mara moja kwa mchanga??Mbwa anakuwa trained, na Uwindaji sio tu kukamata mnyama, Mbwa anakamata vitu vingi tu.
Mbwa ambaye yupo trained hamuui mnyama ama kumla anamkamata tu na kum suppress then mambo ya Kuchinja na mengineyo unafanya mwenyewe.
GOOGLE mbwa anaitwa Saluki ndio hutumika sana kuwindia Africa/Middle East kukamata wanyama.
Kuna bacteria wengi sana hasa kwenye hii hewa tunayovuta. Hao hua mnawaondoaje? Au nini maana ya neno najisi kulingana na dini yako?Kufuga mbwa haijakatazwa, ila kuna masharti ya kuzingatia
1. Huyo mbwa awe ni kwa ajili ya ulinzi au kuwinda
2. Awe na banda lake, asikae ndani na watu. Na apewe chakula kwenye vyombo vyake
3. Nguruwe hairuhusiwi kabisa hata kumfuga home
Mate ya mbwa ni najisi kwa maana mbwa akikulamba mguu au mkono wako basi hiyo ni najisi. Ili hiyo najisi iondoke inatakiwa uoshe hiyo sehemu ambayo mbwa amelamba. Na utaosha mara 7 yani utaosha kwa maji na mara moja kwa mchanga. Na hivi hivi pia ukiguswa na nguruwe. Nguruwe ni mwili wake wote ni najisi sio mate tu.
Unaweza kufikiri huu ni wazimu lakini imefahamika cientifically kwamba mate ya mbwa au najisi ya nguruwe yana bacteria ambao hawaondoki wala kufa kwa kuoshwa na maji pekee.
Kuna daktari mzungu kutoka America alienda kufanya kazi Egypt akashangaa kusikia kuwa mbwa akilamba sehemu unatakiwa uoshe mara saba na moja wapo iwe ni mchanga (mchanga plus maji).
Akafanya mwenyewe uchunguzi akachukua chombo kilicholambwa na mbwa akapima akakuta kina bacteria wengi. Na akaosha kwa maji pekee na kisha akaenda kuipima tena maabara akakuta bado kuna bacteria wale wale wapo hawajaondoka na akaosha tena ile container kwa maji na mchanga kama alivyo elekeza Mtume Muhammad SAW kisha akaenda kupima tena akakuta hakuna bacteria aliyebaki katika chombo kile. Huyo Dr alikuja kusilimu. Ngoja nikiipata clip yake nitaiweka hapa
Sasa wewe unafikiri Mtume Muhammad SAW aliyajuaje hayo miaka 1400 iliyopita? Nyinyi kama hamtamuamini basi kwa hakika ushahidi mmeletewa ila ni ubishi tu.Hakuna bacteria wowote wanaoweza kufa kwa kuoshwa na maji ya baridi pekee.
Ampake mate wapi? It's not like ukimkamata Mnyama unamchoma tu kuna Taratibu za kiisilamu za Kuchinja, Kuchuna Ngozi etc. Mate ambayo yapo kwenye Ngozi hayaathiri mnyama. Pia ukumbuke keyword hata ni Trained dog, kama mbwa wako akikamata mnyama anamla nusu huyo ni wake haja kama ta kwa ajili yako, unatakiwa umfundishe akamate kwa ajili yako.Sasa mbwa akimkata mnyama si lazima ampake mate yake ambayo ni najisi au utamuosha huyo mnyama mara saba kwa maji na mara moja kwa mchanga??
Mlishafanya na utafiti kwa wanyama wengine wakufugwa kama paka? Vipi kama paka nae ana bacteria wanaofanana na hao wa mbwa? Mana wote ni wanyama na wanafungwa kwenye majumba ya watuSasa wewe unafikiri Mtume Muhammad SAW aliyajuaje hayo miaka 1400 iliyopita? Nyinyi kama hamtamuamini basi kwa hakika ushahidi mmeletewa ila ni ubishi tu.
Bacteria wako wa aina mbali mbali na hao bacteria wa mbwa na nguruwe hata maji ya moto hayaui mpaka uweke na mchanga, ingekuwa maji ya moto tu yanatosha basi Mtume Muhammad SAW asingesema tutumie na mchanga. Na yeye hajasema maji ya moto bali ni maji ya baridi tu ila pia unaosha na mchanga/udongo.
Akunuse kwa kutumia mdomo wake au vipiWewe umesoma shule ya wapi.Simba,paka chui,tiger wako kundi linaitwa feline family.
Halafu usichokonoe na kutukana usichojua mbwa unachotakiwa asikunuse na pua yake.
Waislam kukwepa haya wanaona bora kutomfuga
Najisi ni kila kitu kinachofanya usiruhusiwe kusali mpaka uitoe hiyo najisi. Najisi ni uchafu kwa kifupi. Na uchafu upo wa aina nyingi. Kuna aina ya uchafu haulazimiki kuuondoa ili usali yaani uanweza kusali na uchafu wako hivyo hivyo na swala yako ikawa sawa. Kwa mfano wewe ni fundi makenika umechafuka oil kila mahali, lakini hiyo oil na nguo zako chafu za oil haikuzuii wewe kusali. Ukitaka kusali hivyo hivyo unaweza tu.Kuna bacteria wengi sana hasa kwenye hii hewa tunayovuta. Hao hua mnawaondoaje? Au nini maana ya neno najisi kulingana na dini yako?
paka hana shida sio najisi ila sio halali kuliwa, anafugwa tu na hana madhara ya kiafya kwa maana hana bacteria za kuwadhuru watu kama ilivyo kwa mbwa na nguruwe. Paka anaweza kuwa na bacteria lakini hawana madhara kwa biandamu. Sio kila bacteria ina madharaMlishafanya na utafiti kwa wanyama wengine wakufugwa kama paka? Vipi kama paka nae ana bacteria wanaofanana na hao wa mbwa? Mana wote ni wanyama na wanafungwa kwenye majumba ya watu
Samahani kama nitakua nimekukwaza kwa maswali mengi. Ila naomba unijulishe ni kwanini najisi zitokanazo na nguruwe na mbwa zimewekewa sharti kali sana tofauti na najisi zitokanazo na wanyama wengine?Najisi ni kila kitu kinachofanya usiruhusiwe kusali mpaka uitoe hiyo najisi. Najisi ni uchafu kwa kifupi. Na uchafu upo wa aina nyingi. Kuna aina ya uchafu haulazimiki kuuondoa ili usali yaani uanweza kusali na uchafu wako hivyo hivyo na swala yako ikawa sawa. Kwa mfano wewe ni fundi makenika umechafuka oil kila mahali, lakini hiyo oil na nguo zako chafu za oil haikuzuii wewe kusali. Ukitaka kusali hivyo hivyo unaweza tu.
Lakini kuna aina ya uchafu ukiwa nao ni lazima uutoe kwanza ndio usali, huu ni mfano umeenda chooni ni lazima ujioshe na maji, hairuhusiwi kusali na mavi/mikojo hata ikiwa kwenye nguo utalazimika uoshe hiyo sehemu kwanza ndio usali.
Ndio hivyo hivyo upande wa wanyama kuna wanyama wengi ambao ukigusana nao hawana najisi mfano ngombe, mbuzi, paka, simba n.k ila kuna specific wametajwa kuna wana najisi ambao ni mbwa na nguruwe. Na hata hizo bacteria unazosema sio zote ni najisi
I hope nimekujibu swali langu na Mwenyezi Mungu ndiye mjuzi zaidi
Aise pole sana. Ni wiki sasa kuna dada alijeruhiwa kwa kung'atwa na paka akahangaika hospitali na mwishoe akafariki. Madaktari walipotoa ripoti ya sababu za kifo ikaonekana ni sumu zimemuua kutokana na bacteria waliokuwepo kwneye mate na meno ya paka. Je hilo unalizungumziaje? Mahali alipofia ni kimara hospital.paka hana shida sio najisi ila sio halali kuliwa, anafugwa tu na hana madhara ya kiafya kwa maana hana bacteria za kuwadhuru watu kama ilivyo kwa mbwa na nguruwe. Paka anaweza kuwa na bacteria lakini hawana madhara kwa biandamu. Sio kila bacteria ina madhara
Uisjali wala haunikwazi mkuu, najisi za mbwa na nguruwe zina madhara kwa afya ya bianadamu ndio mana zimewekewa masharti magumu kuliko za wanyama wengine. Actually madhara hayo yanaweza kuleta kifo kabisa. Yaani maradhi yanayotokana na najisi za wanyama hawa ni hatari kwa afya za wanadamu. kwa hivyo chukua tahadhari hata kwa familia yako itakusaidiaSamahani kama nitakua nimekukwaza kwa maswali mengi. Ila naomba unijulishe ni kwanini najisi zitokanazo na nguruwe na mbwa zimewekewa sharti kali sana tofauti na najisi zitokanazo na wanyama wengine?
Sitisha huu uongo, propoganda na pseudoscience mara moja , binadmu wamekula hadi sahani moja na kulala na mbwa kwa mamia ya miaka bila shida yoyote. Wanyama wote iwe ng,ombe, mbuzi, kondoo n.k wanaweza kuwa na bakteria wabaya, Maziwa mabichi ya ng'ombe yamekwa chanzo cha ugonjwa mbaya wa TB kwa miaka mingi sana ila hatujaona maziwa yakismewa ni najisi.paka hana shida sio najisi ila sio halali kuliwa, anafugwa tu na hana madhara ya kiafya kwa maana hana bacteria za kuwadhuru watu kama ilivyo kwa mbwa na nguruwe. Paka anaweza kuwa na bacteria lakini hawana madhara kwa biandamu. Sio kila bacteria ina madhara
Hapa naona kama umejibu kwa mihemko tu mkuu,, mbwa anaruhusiwa kufugwa vizuri tu lakini katika masharti maalumu.Mbwa anaondoa Sunnah, hivyo hairuhusiwi.
Hakika wale wanaoendekeza kufuga wanyama wasio safi Kama mbwa, hawatapata maswahaba waliohidiwa