Ni wiki tu kuna dada ni jirani yangu huku kimara aling'atwa na paka akahangaika hospitali lakini alifariki, ripoti ya daktari ikasema ni sumu za mate na meno ya paka ndo zilizomuua. Nikafanya utafiti kwa kugoogle kisayansi inaonesha ni kweli paka ana sumu kali sanaUisjali wala haunikwazi mkuu, najisi za mbwa na nguruwe zina madhara kwa afya ya bianadamu ndio mana zimewekewa masharti magumu kuliko za wanyama wengine. Actually madhara hayo yanaweza kuleta kifo kabisa. Yaani maradhi yanayotokana na najisi za wanyama hawa ni hatari kwa afya za wanadamu. kwa hivyo chukua tahadhari hata kwa familia yako itakusaidia
Aise pole sana. Ni wiki sasa kuna dada alijeruhiwa kwa kung'atwa na paka akahangaika hospitali na mwishoe akafariki. Madaktari walipotoa ripoti ya sababu za kifo ikaonekana ni sumu zimemuua kutokana na bacteria waliokuwepo kwneye mate na meno ya paka. Je hilo unalizungumziaje? Mahali alipofia ni kimara hospital.
Hawa nnao wajua Mimi wavuta MajaniWakirudi wanajiosha mara saba kwa maji na mara moja kwa mchanga.
Mbwa ambao wapo trained wana discipline sana, unaweza uka panda nae kwenye gari ukakaa naye masaa wala asikurambe rambe. Wengine huzibwa kabisa pua zao hasa wale ambao wanatumika kunusa madawa ya kulevya wanaachiwa pua kwenye Field tu.Kuna Polisi ni waislam kibaya hawapingi kupanda na Mbwa zao kwenye gari ya sirikal
Kuna uthibitisho wowote kisayansi unaosema mbwa akikulamba hata kama hajakung'ata yale mate yake yanaweza kukudhuru? Kama hamna basi hoja yako haina mashiko. Halikadhalika na kwa nguruwe pia, ukigusana nae unaweza pata madhara yeyote? Au kwa lugha nyepesi, kuna ubusiano gani kati ya sala na bacteria waliopo kwenye mate ya mbwa? Ni kwamba sala zako hazifiki ukisali angali mate ya mbwa yako mwilini mwako?Duh sasa hapo tatizo ni huko kungatwa. Hao bacteria wa paka wakifika kwenye ngozi kavu au nguo hawana madhara ila kwa sababu wameingia ndani ya mwili baada kungatwa ndio madhara yamekuja.
Hata nyoka akikupitia tu kwenye nguo hana madhara ila akikungata ana madhara.. Ni kuchukua tahadhari tu na hawa wanyama sababu hata ngombe anaweza akakupiga pembe ukafa
Heeh!Mbwa anaondoa Sunnah, hivyo hairuhusiwi.
Hakika wale wanaoendekeza kufuga wanyama wasio safi Kama mbwa, hawatapata maswahaba waliohidiwa
Kwanini mchanga?Unaruhusiwa kufuga kwa ajili ya ulinzi tu na uwindaji.Sharti awe na vyombo vyake vya kulia na awe bandani hadi muda wa usiku mfungulie allinde na asubuh kurudi. Haifai mbwa kukaa sofani na binadamu ,kwani mate yake akikugusa unajiosha mara 7 ,mara ya kwanza tumia mchanga.
Mkuu ulicho kiandika hapa ni nusu ya ukweli na nusu ya uvumi.Sasa wewe unafikiri Mtume Muhammad SAW aliyajuaje hayo miaka 1400 iliyopita? Nyinyi kama hamtamuamini basi kwa hakika ushahidi mmeletewa ila ni ubishi tu.
Bacteria wako wa aina mbali mbali na hao bacteria wa mbwa na nguruwe hata maji ya moto hayaui mpaka uweke na mchanga, ingekuwa maji ya moto tu yanatosha basi Mtume Muhammad SAW asingesema tutumie na mchanga. Na yeye hajasema maji ya moto bali ni maji ya baridi tu ila pia unaosha na mchanga/udongo.
Yes, kwanini mchanga? Je mchanga hauna bacteria ambao pengine ni wabaya zadi ya hao wa mbwa?Kwanini mchanga?
Waislam wenye pesa wanafuga kama pets, tena wengi tu. Ila hawa wanaosubiri bikra 72 ndo wanaona haramUislamu una muongozo gani wa kidini katika kufuga mbwa wa ulinzi au kama mnyama kipenzi(pet) na kuishi ndani ya nyumba?
Hali ya ufugaji mbwa Uarabuni ikoje?
Uislam unakataza kula nguruwe ila wanatumia mifupa ya nguruwe kufukuza majini.Uislamu una muongozo gani wa kidini katika kufuga mbwa wa ulinzi au kama mnyama kipenzi(pet) na kuishi ndani ya nyumba?
Hali ya ufugaji mbwa Uarabuni ikoje?
Nipo nje ya mada naweza.kukufata pm kuna kitu nataka unielimisheUnaruhusiwa kufuga kwa ajili ya ulinzi tu na uwindaji.Sharti awe na vyombo vyake vya kulia na awe bandani hadi muda wa usiku mfungulie allinde na asubuh kurudi. Haifai mbwa kukaa sofani na binadamu ,kwani mate yake akikugusa unajiosha mara 7 ,mara ya kwanza tumia mchanga.
Aisee, shida wengi wetu hatupendi kuhoji maswali tunaenda kwenye hizi dini kichwakichwa tu😄. Ona sasa huli nyama ila unatumia mifupa kwenye ibada za kufukuza majiniUislam unakataza kula nguruwe ila wanatumia mifupa ya nguruwe kufukuza majini.
Miyeyusho sana 😂Waislam wenye pesa wanafuga kama pets, tena wengi tu. Ila hawa wanaosubiri bikra 72 ndo wanaona haram
View attachment 3347396
endelea kubisha haina shida wewe kula sahani moja na mbwa. Wewe si unawaona wazungu ni wajanja sana na kila wanalolifanya ni sahihi. Ila ulishawahi kujiuliza ni kwa nini wazungu ndio wanao ongoza kwa kufa kwa saratani kuliko race zingine duniani? Haina maana kwamba race zingine hazipati cancer ila kwa wazungu imezidi sana. Ile Life style yao ya kuishi ndani na mbwa na kula nguruwe every day ifanyiwe utafiti inaweza kuwa imechochea ongezekoSitisha huu uongo, propoganda na pseudoscience mara moja , binadmu wamekula hadi sahani moja na kulala na mbwa kwa mamia ya miaka bila shida yoyote. Wanyama wote iwe ng,ombe, mbuzi, kondoo n.k wanaweza kuwa na bakteria wabaya, Maziwa mabichi ya ng'ombe yamekwa chanzo cha ugonjwa mbaya wa TB kwa miaka mingi sana ila hatujaona maziwa yakismewa ni najisi.
Ubaya wa hizi hadithi sometimes zinakuwa kama uvumi fulani hivi 😁Waislam wenye pesa wanafuga kama pets, tena wengi tu. Ila hawa wanaosubiri bikra 72 ndo wanaona haram
View attachment 3347396
Aisee, shida wengi wetu hatupendi kuhoji maswali tunaenda kwenye hizi dini kichwakichwa tu😄. Ona sasa huli nyama ila unatumia mifupa kwenye ibada za kufukuza majini