Tutuma Bonifasi
Member
- Jul 15, 2014
- 8
- 4
Kwanza kabisa nianze kwa kumshukuru Mungu kwa mema yote aliyonijaalia kwa afya njema na upeo wa kuweza kuchanganua mambo magumu.Mada ya leo hakika ni ngumu sana wakati mwingine napata hofu kuijadili kwa kina,na hii ni kwa sababu binadamu tumeumbwa kwa hofu na hata mafundisho tunayopewa mbalimbali yanalenga kutujengea hofu ili kutengeneza mazingira wanayoyakubali na kuyaamini wao.Naomba nianze uchambuzi wangu wa leo kwa kuangalia ni nini maana ya dini?Dini ni jaribio la mwanadamu kuwa na uhusiano na Mungu.Maana ya Kamusi ya "dini" itakuwa kitu sawa na, "imani na Mungu au miungu yakuabudiwa, ambayo hudhihirishwa katika tabia na tamaduni; au mpangilio wowote wa imani, ibada na kadhalika, kila mara ambao wahusisha maumbile. "Katika maana sawia, Bibilia yazungumzia dini zilizo na mpangilio, lakini matukio mengi, lengo na madhumuni ya "dini iliyo na mpangilio" si vitu ambavyo Mungu hufurahishwa navyo.A religion can be defined as the supernatural beliefs of anything to be as you're God.Kama ukiamua kuabudu Mbuzi shauri yako hiyo ndiyo imani yako.Mwanzo wa Dini - kumfuata - Mungu.Adam Man = na Hawa viliumbwa kwa Mungu Muumba. Mwanzo 1.27
Wao alikuwa na watoto wawili - Kaini na Abeli. Mwanzo 4,1-16. Abel kusikiliza Mungu (waumini), Kaini kusikiliza Mungu, alifanya kile alichotaka. Alimwua ndugu yake, ambayo ilikuwa mauti ya kwanza katika dunia (wasio watu wa dini).Dini hizi kutokana na vitabu mbalimbali na historia yake zimegawanyika katika makundi yafuatayo;Kutoka wazao wa Shemu Mungu alichagua watu ambao kubeba imani ya kweli kwa Mungu wa kweli. Walikuwa Waisraeli -. Wayahudi
Wayahudi - kuwa na asili yao katika Ibrahimu, miaka 1400 kabla ya Kristo. Mungu aliita Abrahamu, aitwaye Baba wa imani. Mungu kusikiliza na waliondoka na ujumbe sahihi kuhusu Mungu wa kweli - Muumba. Mwanzo 11.10. 27 (kuzaliwa kwa Ibrahim), Mwanzo 12,1-9. 15 - (mkataba kati ya Mungu na Abrahamu). Aya ya 21 - (kuzaliwa kwa Isaka). Isaka na Yakobo, na Yakobo alikuwa na wana-12 kizazi Israel (Wayahudi).
Mungu alipowaleta watu wake wateule kutoka utumwa wa Misri, alimpa Musa katika Mlima Sinai, Mungu asiyebadilika sheria bodi. Mambo mengi ya Sheria hii bado ni sehemu ya sheria ya kawaida, hali.
Wakristo - kuwa na asili ya miaka 2010 iliyopita. Mafundisho yao ni ya msingi juu ya Yesu Kristo, ambaye alikuwa Myahudi, na ambaye alidai, na matendo makuu imeonekana kuwa Mwana wa Mungu Mkuu. Ni takwimu vile muhimu katika historia ya kuwa iliyopita katika zama zake.
Inahusu watu kwa Baba wa kweli aliye mbinguni (katika nafasi). Ukristo ni muendelezo wa dini ya Kiyahudi, ambayo inaongoza kwa elimu ya Mungu wa kweli kwa njia ya Mwana wake Yesu Kristo. Maisha yake, na kazi yote ya ukombozi ni ilivyoelezwa katika Injili ya Biblia. Kwa nini ni maelekezo wengi katika Ukristo?Kutoka mwana mwingine wa Nuhu Ham, kwa kuzingatia maelekezo zaidi ya dini.
Kundi jingine ni Waislamu - Uislamu - Waislamu. Ni dini ya mashariki. Wao wana asili yao pia katika Ibrahimu. Mwanawe Ishmaeli, lakini alikuwa mwana wa Hajiri Mmisri mjakazi jina. Mwanzo 16,1-12. Hivyo inakuja kabila la Ham. Unabii wa Biblia juu yake anasema, "mtu wa mapenzi ya indomitable mkono wake utakuwa juu ya kila mtu na mkono dhidi yake na kusimama dhidi ya ndugu zake wote.."Wao wanaamini katika Mungu mmoja - Mwenyezi Mungu. Mtume Muhammad aliishi karne ya 6 baada ya Kristo.
Mabudha - Ni dini ya Mashariki. Mwanzilishi wake ni Buddha, mzaliwa wa BC 560 nchini India karibu Nepal. Nakala GUATAMA jina lake. Buddha jina ni mungu. Dunia yetu ni pazia tu kwa ajili yake - MAY. Yeye anatangaza:-maisha ni taabu na mateso ni maisha. Mafundisho ya Buddha ina nyuzi 8, na kinyume na sheria ya Kiyahudi, ambayo inaongoza kwa Mungu, hii husababisha mwenyewe. Maadili: 1 / kweli imani, 2 / mawazo ya haki, 3 / akizungumza kulia, 4 / halisi ya maisha na mtindo wa maisha (si kuua, kuiba, usifanye kuishi lascivious, si uongo na kunywa kulevya). Buddha anauliza: 5 / waaminifu maisha, 6 / juhudi haki 7 / mawazo ya kulia, 8 / haki preoccupied na yeye mwenyewe.
Wahindu - Dini ya Mashariki - pia linatokana na familia ya Ham. Ni India ya taifa ya dini. Haikuwa na mwanzilishi - yoga - Yogi - ni mkubwa katika nchi yetu. Hapa ni mahali kwa kila mtu - ni jumble kidini. India inasema kwamba nchini India, ni ya dini zote za dunia. Kulinganisha na mimi:
1 theists - wanaamini katika Mungu binafsi nje ya dunia, lakini si kwa Mungu uliofunuliwa katika Kristo
2 deism - wanaamini katika sababu ya busara katika Mungu mmoja - mmoja aliumba ulimwengu na kuangalia kama watchmaker, fika nao, na wao kukimbia kwa wenyewe
monotheists 3 - wanaamini katika Mungu mmoja
4 washirikina - wanaamini katika miungu wengi
5 hawamjui - kukana imani katika Mungu
6 Ukristo - ni kuna nafasi ya Yesu Kristo na Ukristo. Katika India pubs uchoraji kunyongwa kwa upande upande mungu Krishna, Buddha, Yesu na Gandhi ....Hindu Mungu - Gray - mungu wa kimya. Wao na miungu 330,000,000 (wanyama, miti, milima ... dini hii inakwenda nyuma ya BC 1250 ya sayansi -. Maandishi ya siri - mashairi ya Jumapili dunia -. Siku ya jua, kuomba kwa jua.
Kufuru - ya kisasa na ya mwisho dini. Dini ya sababu. Katika kitabu cha hawamjui Dictionary imeandikwa hivi: ". Mungu hakuumba mtu lakini mtu wa Mungu, kwa mfano wake na mfano" Kupenda mali ni kuonyesha ya kufuru ya Ufaransa ya karne ya 18.
Unaweza kuona, kuna makundi mbalimbali katika jamii - dini, ambayo kwa namna fulani kuathiri yetu. Ambayo dini sisi ni mali, lazima kujibu kila mtu binafsi. Nini, au kwa nani, mtu anaweka mustakabali wake ni katika uamuzi wetu bure. Uhuru wa kutoa maamuzi ni zawadi kubwa tumepokea kutoka kwa Mungu.
Lengo kuu la mada hii ni kuangalia kwa kina haswa ni jinsi gani dini zetu zimeweza ku associate na maisha ya kila siku ya binadamu na ustawi wake.Hapa nitajadili kwa kupitia dini mbili kubwa hapa Tanzania ambazo ni Uislam na Ukristo.Tumejaribu kuona historia ya Dini.Lakini dini za leo na watumishi wake sina uhakika kama ndizo zimpendezavyo Mungu,au watumishi wa dini hizo waya fanyayo ndio mapenzi haswa ya Mwenyezi Mungu?
Kama ndivyo huu utititi wa kuvunjika na kujitenga kwa dini hizi na kuzalisha madhehebu mbali mbali ni mpango wa nani?sitaki kutoa majibu mepesi hata kidogo,maana hata hao manabii wa uongo waliotabiriwa watakuja sina uhakika kama wameshakuja?
Wakati Waislamu wote wanamfuata Mtume mmoja na Qur-aan moja lakini kuna makundi mengi na tofauti yaliyogawanyika miongoni mwa Waislamu?Ukweli ni kwamba Waislamu wa zama hizi, wamegawanyika mapande tofauti. Kugawanyika huko hakuungwi mkono na Uislamu kabisa. Uislamu unaamini ya kwamba wauumini ni lazima waungane.Kwani Qur-aan Tukufu inasema:
"Na shikamaneni kwa kamba ya Mwenyezi Mungu nyote pamoja, wala msifarikiane. Na kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu iliyo juu yenu: vile mlivyokuwa nyinyi kwa nyinyi maadui naye Akaziunganisha nyoyo zenu; kwa neema Yake mkawa ndugu. Na mlikuwa ukingoni mwa shimo la moto, Naye Akakuokoeni nalo. Namna hivi Mwenyezi Mungu Anakubainishia ishara Zake ili mpate kuongoka".Qur-aan inasema pia:
"Enyi mlioamini! mtiini Mwenyezi Mungu na mtíini Mtume na wenye madaraka katika nyinyi. Na mkizozana katika jambo basi lirudisheni kwa Mwenyezi Mungu na Mtume, ikiwa mnamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho. Hayo ndio bora zaidi na ndio yenye mwisho mwema."Waislamu wote ni lazima kushikamana na Kitabu na Sunnah sahihi na sio kugawanyika makundi makundi.
Mwenyezi Mungu Anasema ndani ya Qur-aan:
"Hakika walio igawa dini yao wakawa makundi makundi, huna uhusiano nao wowote. Bila ya shaka shauri yao iko kwa Mwenyezi Mungu; kisha atawaambia yale waliyokuwa wakiyatenda".[6:159]
Kwenye Aayah hii Mwenyezi Mungu Anasema ya kwamba yeyote yule asishirikiane na yule aliyeigawa dini yake katika makundi.Lakini mtu akimuuliza Muislamu, ‘Wewe ni kundi gani?', jibu litakuwa ‘Mimi ni Sunni', au ‘Mie ni Ibadhi'. Na katika Masuni wengine hujiita Hanafi au Ash-Shaafi'iy au Maalik au Hanbaliy. Na humo tena utakuta mtu anajiita ‘Mimi Qadiriya', ‘Mimi Naqshabandiya' au ‘Mimi Shadhiliya'!
Lakini pia ukija katika Ukristo leo dini hii imegawanyika sana sasa sina uhakika kama ni mapenzi yake Mungu au ni mapenzi ya nani? Leo hii hapa Tanzania kabla ya Ukoloni watu walikuwa wanaabudu miungu yao,ambayo ilikuwa kama mediator katika mahitaji yao.Wakaja wakoloni wakaleta dini zao, kipindi kile tunaambiwa katika historia lengo lao lilikuwa ni kuendeleza unyonyaji wa rasilimali zetu,kuwafanya Waafrika kuwa wapole dhidi ya unyonyaji sasa zama hizi sijui kama lengo hilo lilishabadilika?Akikupiga shavu hili mgeuzie na shavu la upande wa pili; Leo kuna Roman Catholics(RC),Waanglican,Wasabato, Protestant(Wapingaji)sijui wanapinga nini?na je malengo yao yalishatimia au bado,Martin Luther King angeweza kutupatia majibu sahihi,Walokole hawa nao wamegawanyika maana yake ni kwamba unaamka asubuhi basi unaanzaisha kanisa lako,makanisa haya hapa Tanzania ni kama The Fully Gospel Bible Fellowship(FGBF), Evangelistic Assemblies of God(EAGT),Tanzania Assemblies of God(TAG)EFATA MINISTRIES,MLIMA WA MOTO na mengine mengi sana.Lengo kuu la dini ni kueneza neno la Mungu,kutoa huduma mbalimbali za kiroho kwa waumini wake,kutoa huduma mbali mbali za kijamii kama vile Elimu,afya na hata kupunguza umaskini kwa waumini wake ambao ndio wananchi,kufundisha maadili mazuri kwa waumini wake lakini yeye kuwa mfano wa kuigwa kwa matendo na maneno yake.Baadhi ya madhehebu yamefanya hivyo kwa kiwango cha kuridhisha na si jukumu langu kuyataja hapa.
Nimeumia sana sana na sijajua kama ni upotoshaji au wameamua kwa makusudi kabisa kuwageuza waumuni wao kama vile ni vitega uchumi vyao.Leo kumeibuka Tanzania wimbi la viongozi wanaojiita ni manabii waliotumwa na Mungu! Mie sijui lakini lengo la kuandika makala haya ni baada ya siku moja kuhudhuria kanisa moja hakika mahubiri ya anayejiita nabii yule ni ya vitisho na kuendeleza hofu kwa watanzania ambao ni maskini.Nliumia sana anasema Mungu wa (....anataja jina lake) ndie ambae tumwombe,nlishtuka sana lakini hilo si hoja kuna vioja vingi sana ambapo mahubiri hayo siku hizi yamekaa kishkaji sana ili kuwafurahisha waumini wale.
Akatoa tangazo la kutoa sadaka na akatoa bahasha ili kila mmoja jumapili inayofuata aweke laki moja huko eti hiyo ndiyo sadaka inayompendeza Mungu.Nliumia sana.Huyu Mungu amekuwa wa mchezo kiasi hiki mpaka tunamhusisha katika matukio ya ajabu ajabu.Mie kwangu najua neno la Mungu ni kali kama upanga uwakao sasa mahubiri hayo sijui yana pumzi ya nani?
Ni lazima kuondokana na fikra na roho ya ulimwengu huu na kuchukua mawazo ya Kristo na Roho wake. "Ni nani hana Roho wa Kristo, huyo si wake" (Rum. 8:09). Ni pia inatumika kwa kuwaalika "Kama hawakutubu, wote kuangamia." (Luka 13:03):.Leo hao wanaojiita manabii ndio wenye utajiri mkubwa sana hapa Tanzania wakati waumini wao wakiogelea kwenye dimbwi la umaskini wa kutupwa.
Leo wananunua Helcopter,wanatembea na Helcopter,magari ya kifahari kama Hummer,V8,wanajenga makasri ya mabilioni tena wengine wanavunja sheria za nchi kujenga maeneo yasiyoruhusiwa na sheria za nchi,wengine wanavunja ndoa za watu kwa ajili ya pesa za sadaka,wanasafiri nje na watototo wao wanasoma nchi za Ulaya na ni kwenye shule nzuri(FM-Academia) wakati watoto wa kapuku tukisoma shule za Msondo Ngoma,wengine wanachanganya dini na siasa wakati imeandikwa ya kaisari mpe Kaisari na ya Mungu mpe Mungu,wanaanzisha miradi ya mabilioni na hata shule wanazojenga baadhi yao hutoza ada kubwa kwa maskini kapuku kuweza kumsomesha mtoto wake,potelea mbali liwalo na liwe hawa ni wezi,hawa ni matapeli,hawa ni wadanganyifu wakubwa sana,Huu ni Ufisadi mkubwa wa kuzitumia taasisi za waumini kwa maslahi binafsi na ya watoto wao.
Ukifuatilia historia ya Yesu Kristo wa Nazareti yeye alikuja kuwafariji wenye dhiki na shida,aliishi na wale watu waliodharaulika na jamii ya zama hizo.Mfano Yesu alizungumza lugha ya Kiaramaiki ambayo ilikuwa inazungumzwa na watu maskini,japo pia Kiebrania pia alizungumza pia.Wakati fulan tajiri ambae alikwenda kutoa sadaka nyingi,pamoja na mjane maskini aliyetoa sadaka ndogo Yesu akasema hakika sadaka ya yule mjane ndio bora,hakuangalia uwingi wa pesa.Hawa manabii wetu wanamhubiri Yesu yupi?matendo yao ni mfano wa yesu yupi?
Matokeo ya matendo yao ndio yamewidening gap between the rich preachers and the poor believers,wanahubiri mahubiri ya kuwatisha waumini wao lakini pia kuwatia hofu,kashfa za kujihusisha na biashara haramu kama uuzaji wa madawa ya kulevya,starehe za kupindukia,kujihusisha na ukosefu wa maadili kama kuvunja ndoa za watu,umalaya,tamaa kubwa za mali n.k.
Katika maisha ya kila siku kama binadamu jamii yetu inalindwa na tamaduni,sheria,mipango na mikakati yetu.serikali inapaswa kutizama hii Misamaha ya kodi inayotoa kwenye taasisi za kidini kama si kufutwa kabisa ni kuunda taasisi ambayo itahusika na kufuatilia kama malengo na maombi ya misamaha hiyo yanalenga katika kustawisha maisha ya watanzania,kuundwa kwa sheria kali dhidi ya dhuluma na hata hawa papa ambao wamejiwekea uzio wa chuma wanapofanya makosa na kuvunja sheria wanawajibishwa kulingana na uzito wa kosa lenyewe,kama ni unyanyasaji wa kijinsia wawajibishwe(Religious Child Multreatment).
Hawa viongozi inawapasa warudi kwenye mstari sahihi wa kueneza neno la Mungu na kuuelekea kama ni wito wao.Ni ngumu sana kujadili hii hoja kwa sababu hao baadhi ya viongozi wa dini wamejiweka kwenye class ya juu sana.
Wananchi wanapaswa watambue hilo.Sasa ni wakati wa ofisi ya CAG kufanya ukaguzi kwenye taasisi za kidini ili kutengeneza taifa la haki na usawa.Mungu ni mwema na amesema Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa sasa ni jukumu lako kufanya uchambuzi wa kina na wa uhalisia.