Dini zetu zimetufunga waumini katika maisha ya mitume

Dini zetu zimetufunga waumini katika maisha ya mitume

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,340
Reaction score
4,659
Mungu ni msimulizi hodari wa historia za manabiii wake ambao walishindwa kuandika sheria za mungu ila wanafunzi ndiyo msingi wa kusimama dini hizi, ila naogopa sana kwani maisha ya mitume tumeyapata kutoka katika hadith zilizogawanywa kwa watu tofauti na vipo vitabu vya wafuasi wa karibu wa mitume ambavyo havikutaka kutolewa ila najaribu kufikiri ni uongo upi na ukweli upi katika dini.

Tunajuaje maisha ya kweli ya mitume mbali na kukusanywa kwa visa na simulizi nyingi?
 
Usijipe taabu ya bure. Ishi kwa amani, fuata mila zilizo bora za huko kwenu, heshimu binadamu na utunze mazingira.

Hao mitume wasikukoseshe raha kwa makandokando yao. Dili za watu hizo.
 
Back
Top Bottom