I AM WHO I AM
Member
- Oct 18, 2012
- 49
- 35
Hodi humu ndani, kabla hata sijakaa, naomba tuzingatie mafundisho ya dini zetu, na kama dini zetu zinatufundisha kwenda kumfuata mungu wa kweli, basi naamini dini zinahubiri Mungu mpenda amani na sio vurugu na mauaji. Asante sasa nakaa ,kama nimekaribishwa.
Dah...!! Mbona umekuja na jazba, tulia basi hapohapo sweetlady akuletee kinywaji upooze koo.Hodi humu ndani, kabla hata sijakaa, naomba tuzingatie mafundisho ya dini zetu, na kama dini zetu zinatufundisha kwenda kumfuata mungu wa kweli, basi naamini dini zinahubiri Mungu mpenda amani na sio vurugu na mauaji. Asante sasa nakaa ,kama nimekaribishwa.