Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Kwa kiasi kikubwa hizi dini mbili kubwa za mashariki ya kati zilizo tapakaa Afrika Ukristo na Uislam.
Hizi dini kwa kiasi kikubwa zimeizika historia ya mwafrika cheo cha ufarao kimechorwa picha na dini hizi kama ushenzi.
Mafundisho ya hizi dini yana tengeneza collective punishment kwa msululu wa mafarao wote kuonekana walikuwa watu wa hovyo.
Ni ngumu sana mamilioni ya wafuasi wa hizi dini Afrika kuwatizama mafarao katika jicho tofauti na la kidini.
Mkuu wapo waafrics weudi wanairufisha farso.Kwa kiasi kikubwa hizi dini mbili kubwa za mashariki ya kati zilizo tapakaa Afrika Ukristo na Uislam.
Hizi dini kwa kiasi kikubwa zimeizika historia ya mwafrika cheo cha ufarao kimechorwa picha na dini hizi kama ushenzi.
Mafundisho ya hizi dini yana tengeneza collective punishment kwa msululu wa mafarao wote kuonekana walikuwa watu wa hovyo.
Ni ngumu sana mamilioni ya wafuasi wa hizi dini Afrika kuwatizama mafarao katika jicho tofauti na la kidini.
Kumwandikia kitabu mwafrika ni kujichosha tu. Waafrika hatuna utamaduni wa kujisomea. Sisi tunataka mtu asimame jukwaani atuhadithie/atuhubirieMkuu wapo waafrics weudi wanairufisha farso.
Kuna kitabu kinaitwa ..... tree of life.
Kirmeandikwa na Mmarekani wa asili ya Egypt. Kitabu hicho kina mambo mengi aisee. Nimesahau neno la kwanza ila kinamalizia tree of life.
Uzuri ni kwamba wageni waliua utamaduni wa mtu mweusi ila yapo mambo tunaweza kuokoteza na kupata jawabu.
Wuran na biblia mbona zomeandikwa na zinasimwa ijumaa, jmosi na pili.Kumwandikia kitabu mwafrika ni kujichosha tu. Waafrika hatuna utamaduni wa kujisomea. Sisi tunataka mtu asimame jukwaani atuhadithie/atuhubirie
Umekulia ulaya ee?!Wuran na biblia mbona zomeandikwa na zinasimwa ijumaa, jmosi na pili.
Mimi nilikuwa nakisoma hicho kitabu na nilikiokota mtandaoni.
Kitabu kinaitwa KEMETIC TREE OF LIFE. Nimelikumbuka jina.
Wanerekani weusi wameishaweka na masinagogi huko kwao.