Dining table set ya mninga, ipo tayari njoo uikague, lipia na kubeba

Dining table set ya mninga, ipo tayari njoo uikague, lipia na kubeba

king furniture

New Member
Joined
Feb 23, 2023
Posts
3
Reaction score
1
Meza ya chakula (dining table set) tayari ipo ofisini, njoo uikague, lipia na kubeba..

Bei ni 2,200,000/=

Dining table set viti 6..

Mbao ni mninga super..

Finishing yake ni zaidi ya [emoji95][emoji95][emoji95]

Hii meza ni nzuri sana, kuanzia viti vyake hadi meza yenyewe..

Inakufikia popote ndani ya tanzania & zanzibar..

Ofisi zetu zipo keko, karibu na chuo cha veta..

Free delivery kwa Dar

Mikoani & zanzibar tunachangia 30%

Call or whatsapp

0713542400

Picsart_23-02-10_17-59-17-520.jpg
Picsart_23-02-10_18-02-41-448.jpg
Picsart_23-02-10_18-13-41-195.jpg
Picsart_23-02-10_18-21-38-829.jpg
Picsart_23-02-10_18-24-13-575.jpg
Picsart_23-02-10_18-28-33-301.jpg
Picsart_23-02-10_18-30-50-997.jpg
Picsart_23-02-10_18-32-00-057.jpg
 
Tanzania bado inahitaji sana skills kwenye mambo mengi. Final products za maseremala wetu hazivutii... mwonekano wa product ni jambo muhimu ili kuuza kirahisi.
 
Meza ya chakula (dining table set) tayari ipo ofisini, njoo uikague, lipia na kubeba..

Bei ni 2,200,000/=

Dining table set viti 6..

Mbao ni mninga super..

Finishing yake ni zaidi ya
emoji95.png
emoji95.png
emoji95.png

Hii meza ni nzuri sana, kuanzia viti vyake hadi meza yenyewe..

Inakufikia popote ndani ya tanzania & zanzibar..

Ofisi zetu zipo keko, karibu na chuo cha veta..

Free delivery kwa Dar

Mikoani & zanzibar tunachangia 30%

Call or whatsapp
Kazi nzuri ila nakushauri ukajifunze namna ya kuandika tangazo la kibiashara kwa lugha yenye kushawishi na kuvutia
 
Back
Top Bottom