king furniture
New Member
- Feb 23, 2023
- 3
- 1
Wamaanisha workshop au showroom..??Mkuu Samahani unaweza tuna Picha ya Ofisi zilipotengenezwa hizo Fenicha?
Workshop..Mkuu Samahani unaweza tuna Picha ya Ofisi zilipotengenezwa hizo Fenicha?
Poa mkuu👍🏽
Kazi nzuri ila nakushauri ukajifunze namna ya kuandika tangazo la kibiashara kwa lugha yenye kushawishi na kuvutiaMeza ya chakula (dining table set) tayari ipo ofisini, njoo uikague, lipia na kubeba..
Bei ni 2,200,000/=
Dining table set viti 6..
Mbao ni mninga super..
Finishing yake ni zaidi ya
Hii meza ni nzuri sana, kuanzia viti vyake hadi meza yenyewe..
Inakufikia popote ndani ya tanzania & zanzibar..
Ofisi zetu zipo keko, karibu na chuo cha veta..
Free delivery kwa Dar
Mikoani & zanzibar tunachangia 30%
Call or whatsapp