DInno Mgunda

DInno Mgunda

Kaitaba

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2009
Posts
915
Reaction score
54
Huyu ni mtangazaji REDIO TUMAINI ya Dar, anaboa sana kwani anatangaza kwa kuvuuuuta sana maneno, Utasikia errr msikiiiii lizaji kaaaaaribu errrr katika kiiii pindi chaaaaa errr leo.
 
Back
Top Bottom