Kaitaba JF-Expert Member Joined Jun 30, 2009 Posts 915 Reaction score 54 Jun 13, 2013 #1 Huyu ni mtangazaji REDIO TUMAINI ya Dar, anaboa sana kwani anatangaza kwa kuvuuuuta sana maneno, Utasikia errr msikiiiii lizaji kaaaaaribu errrr katika kiiii pindi chaaaaa errr leo.
Huyu ni mtangazaji REDIO TUMAINI ya Dar, anaboa sana kwani anatangaza kwa kuvuuuuta sana maneno, Utasikia errr msikiiiii lizaji kaaaaaribu errrr katika kiiii pindi chaaaaa errr leo.
mdeki JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 3,299 Reaction score 475 Jun 13, 2013 #2 Eeeeh? Unasema?