Atapata km anastahili kupata mkopo!!
Mmmmh ni vigum sana ila asikate tamaa ajarb bahat yke coz sio kila cku ni jumatatu
Mkopo unatolewa kwa watu wenye sifa za form 6 tu.over
mbona kuna dip kapitia form 6 au labda sijakulewa unanisha nn?
hapo huelewi nini sasa?