NAITA New Member Joined Apr 5, 2020 Posts 2 Reaction score 0 Oct 30, 2021 #1 Hiv nduguni....hio GPA ambayo ni overall ndo wanacalculate kiaj yan kwa upande wa diploma ni kwamba wanashika zote semista sita na kugawa kwa jumla ya GPA za semista zote au inakaaje msaada wadau.
Hiv nduguni....hio GPA ambayo ni overall ndo wanacalculate kiaj yan kwa upande wa diploma ni kwamba wanashika zote semista sita na kugawa kwa jumla ya GPA za semista zote au inakaaje msaada wadau.
Abuu Abdurahman JF-Expert Member Joined May 9, 2017 Posts 1,448 Reaction score 1,790 Oct 30, 2021 #2 GPA mbili za mwaka wa mwisho
Mpatuka JF-Expert Member Joined Nov 15, 2015 Posts 2,261 Reaction score 3,580 Oct 30, 2021 #3 Abuu abdurahman said: GPA mbili za mwaka wa mwisho Click to expand... na kwa chuo kikuu imekaaje mkuu?
Abuu abdurahman said: GPA mbili za mwaka wa mwisho Click to expand... na kwa chuo kikuu imekaaje mkuu?