Diploma grades

Diploma grades

Esir

Member
Joined
May 4, 2012
Posts
30
Reaction score
3
TCU wanaposema kwa wale walimaliza diploma wawe wamefauli kwa kiwango B as minimum, wanamaanisha nini? ufafanuzi tafadhari, maana diploma kuna first, upper-second,lower second na pass sasa B ni ipi kati ya hizo hapo?
 
Sio lazima grade za diploma ziwe kwa mtindo huo. Kuna vyuo vingine vinatumia Distinction, Credit and Pass..Hizo za A, B... Mara nyingi nimeona kwny vyeti vya wanaosomea ualimu wakiwa na maana Ka Upper Second
 
Kama co ukilaza ni nn,hujui grade B ni sawa na lower second?
 
Back
Top Bottom