Diploma in clinical assistant and Pharmacy:

Nikhil

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Posts
361
Reaction score
120
wakuu ni ipi bora yenye uwanja mpana wa ajira kati ya hizo mbili na katika maslahi.? Ni msaada wako tu najua mna mawazo tofauti .
 
Mhmhmh diploma ya clinical assistance au ya clinical office maana me sieleeeew hapo
 
Huwa hakuna diploma ya crinical assistance.
Kuna
@certificate in medicine (crinical assistance)
diploma in crinical officer
"angalia vizur ulitaka kumanisha kitu gan hapo"
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…